Serikali ijenge nyumba zake, kama zilivojengwa na serikali ya Mwalimu Nyerere, zikauziwa mawaziri na huyu magufuli, ikiwa ni pamoja na kuwapa mabibi na ndugu zake kwa bei ya kutupa. Leo hii hao viongozi wakina Lukuvi, Lumbanga, Kikwete Mkapa wamejiwekezesha kwenye viwanja walivyopata bure...
Is Nyalandu a Dr? au wakati anawafanyia mpango wakina Mary Mwanjelwa na yeye alijifanyia hizip Phd za dola 500 za wakina mama Lyakatare. Kwa hawa wawili wote ni weak candidates, si kitila wala Nyalandu mwenye quality za kumuongoza yoyote ndani ama nje ya CCM. Nyalandu mume wa miss Tz anafahamu...
Hii inamaana vituko vya Ndugai, speaker kanjanja, Msajili wa Vyama vya Siasa, na Serikali kwa ujumla vimewekwa wazi, hii mihimili imewekwa uchi. Naomba nizungumze na watanzania kuhusu tabia ya ki dikteta na kubaka haki za watanzania,zinazofanywa na hasa msajili wa vyama, akiwa kama mwanasheria...
Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa letu. Lakini leo pamoja na mara nyingine nyingi tunakiona kimekuwa ni PR platform.
Hivi ni sawa...
Tafadhali sana uongozi Wa kampuni ya Dangote sasa hivI natokea tegeta njia ya bahari beach hI you gari imewashwa taa ina abiria mwanamke dereva anaendesha mwendo mwalimu sana anataka kutugeuza overtake kama lazima.
Mbaya zaidi tumefika mtongani kuna zebra crossing eneo la magazine Wa toto Wa...
Hawa watoto wamezidi umalaya jamani, mwingine yuko mahakmani na ataishia kuozea jela, kwa nini hii sharia ya sospa haiwahusishi mafuska wa kike kama wakina wema?
hao ni wakina Mario, wako wengi sana, hata mimi nimekutana na kituko cha aina hiyo. Hadithi tele ukikwama wewe, tena wala hakupi jibu anaingia mitini halafu akitokeza anakuja na ajenda mpya kama vile hakukuwa na issue. Mara ya pili nimekwama mahali kwenye appointment nikamwambia nirushie hela ya...
Tatizo kubwa la civil service in Tanzania, na hasa kw awamu hii ya mheshimiwa daktari life president JPM ni kuwa wafanyakazi wamekuwa so intimidated, na wao wame kubali kabiswa kuaminishwa kuwa mshahara sio haki yao bali ni favor. Ndio maana hii hata spent force kama Mkuchika ana guts za...
Tuko ndani ya basi hili la Morogoro-Dar ni saa 3 na robo usiku kondakta ameamua kuweka sinema ya kishenzi ya mapenzi inayoonyesha mwanaume akiwabadilisha wanawake mbalimbali chumba cha guest house.
Sinema hii sio kwa public consumption, inawadhalilisha wanawake, haina mafunzo yoyote kwa jamii...
Ni vizuri tu tujue kuwa hii vita haimuachi mtu salama, watu walisema Tundu kalipuliwa sababu mpinzani, sasa dhambi aliyoitamka Nyerere ndio hiyo, hao ma retiree tena wanaolindwa na vijana wetu wa Jeshi la Wananchi, wanapigwaje risasi kama sisi?
KUDO, Nimekukubali Makonda, this is superb, pamoja na sababu zote za msingi ulizozitoa napenda kuongezea habari zifuatazo:
Tanzania sio kisiwa ni nchi kama zilivyonyingine, ni ajabu sana jeshi la polisi kuchukua nafasi ya bunge kwa umwamba tu. Jeshi limeshindwa kabisa kudhibiti ujambazi sasa...
No Research No right to speak, mimi ni muandishi mbobezi, hicho alichofanya Rais ni kituko, na ndio maana wahariri wote mahiri wakitupa kapuni, isipokuwa wachimba dawa wa Mzalendo. Kumbuka vyombo vya habari vinaandika 'news' zenye tija kwa taifa, na kiongozi hata kama siyo mahiri anatakiwa kujua...
Asante kwa kuniunga Mkono, tunaomba Afande Mkondya utusaidie kuliweka hili katika vipaumbele vyako vya kuja kwako Dar please. Huyo Mandela cha kushangaza baba yake mzazi ndio alipewa kazi ya mgambo wa kituo cha polisi cha bahari wakati bado kikiwa wazi, can you imagine? unampa kituo baba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.