Recent content by nmwanash

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Itajili sina uwakika ila nachojua ripoti ya BOT ilitoa tatu bora zinazoongoza katika GDP namba 1. Dsm 2. Mbeya 3. Mwanza
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbeya hawafanyi kosa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wewe itiji Niko Mimi cdm wamechukua
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Uku kata ya itiji poa sana vijana wamejitokeza inapendeza
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Na tunataka elimu bure mpaka chuo kikuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kata ya itiji mbeya uku tupo poa upigaji kura unaendelea
  7. N

    JamiiForums Tanzania Elimu Bure Vyuo Vikuu, Lowasa kalenga mbali

    Kuanzia la kwanza mpaka chuo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Elimu Bure Vyuo Vikuu, Lowasa kalenga mbali

    Tusibishane wakati calculation zipo garama ya kumsomesha mwanafunzi mmoja miaka mitatu haizidi 10m
  9. N

    JamiiForums Tanzania James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    James Amon Nsekela mboba mnataka kumsafisha mhujumu uchumi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

    Mount MPE ukweli uyo kipofu asiyejua maana ya statistics
  11. N

    JamiiForums Tanzania Magazeti: Zitto ataja majina ya walioficha mabilioni Uswizi

    Jamani mmesahau mswada aliosaini raisi ndo unaowazuia watu kutoa ukweli au kuandika na kutaja majina
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

    Tusiwe watu wa kupinga tu kama unapinga we to a yakwako ambayo unaona ni sahihi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Jamani ayo majina ni ya watanzania haijalishi wahindi au wa afrika au weusi kama wengi tunavyotaka kikubwa ni kujua hawa wenzetu wahindi ni wahujumu uchumi at a kama unabiashara ndo ukafiche pesa zote nje kuna uwalakini katika pesa hizo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wilaya masikini

    Hahahaaaaaaa bila kusahau ileje
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti hii, Sasa naamini Tanzania ni kifaranga kwa Kenya!

    Masupio umenena kweli tupu over
Back
Top Bottom