Hii nchi ndo maana Lowassa na chadema wameweka kipaumbele cha 1-elimu 2-elimu na 3-elimu. Hiyo unayoiita board ya mikopo ni mali ya nyumbani kwenu!?? Waulize wote waliosoma kwa huo mkopo aliyemaliza kulipa hilo deni hata nusu. Acha ujinga hiyo board badala ya kukopesha itabadilishiwa kazi za kufanya. Hizo unazokopeshwa hutazirudisha tena,maana hata sasa ni za serikali.Mimi nilitegemea wewe unaye amini kuwa hilo linawezekana uwe umepiga mahesabu ni kiasi gani kitahitajika. Hapa ninachokiona ni kuwa Ada itagharimiwa na serikali ila vingine vitabaki mkopo. Hilo litakuwa changa la macho kwani hadi sasa wapo wanaopata 100% hivyo hawalipi ada.
Mimi nilitegemea wewe unaye amini kuwa hilo linawezekana uwe umepiga mahesabu ni kiasi gani kitahitajika. Hapa ninachokiona ni kuwa Ada itagharimiwa na serikali ila vingine vitabaki mkopo. Hilo litakuwa changa la macho kwani hadi sasa wapo wanaopata 100% hivyo hawalipi ada.
Hii nchi ndo maana Lowassa na chadema wameweka kipaumbele cha 1-elimu 2-elimu na 3-elimu. Hiyo unayoiita board ya mikopo ni mali ya nyumbani kwenu!?? Waulize wote waliosoma kwa huo mkopo aliyemaliza kulipa hilo deni hata nusu. Acha ujinga hiyo board badala ya kukopesha itabadilishiwa kazi za kufanya. Hizo unazokopeshwa hutazirudisha tena,maana hata sasa ni za serikali.
Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila atakuwa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria.