Wilaya masikini

Wilaya masikini

KUCHITIMBO1970

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
482
Reaction score
221
Wadau hebu naomba msaada wa hili swali,kwa nini wilaya zote masikini nchini Tanzania majimbo yake yanaongozwa na CCM??.
 
Umaskini unaenda sambamba na elimu duni; afya duni ya mwili na ya akili, utegemezi n.k.... Ambayo ndo mtaji mkubwa wa CCM..
 
Mtoa post umekimbia nini nimeomba unitajie hizo wilaya zinazoongozwa na CCM ambazo ni Masikini afu tusonge mbele acha kuchelewesha mdahalo!
 
Ilala, Kinondoni, Simanjiro, Morogoro mjini,Siha, Mwanga, Babati mjini, Babati vijijini,Kahama, Tarime, Temeke, Kigamboni,Kalenga kote huko ni maskini ajabu.
 
Wadau hebu naomba msaada wa hili swali,kwa nini wilaya zote masikini nchini Tanzania majimbo yake yanaongozwa na CCM??.

Hivi kule kwa Zito na Kafulila ni wilaya tajiri zile? Kilwa nayo vipi? Au kwa Tundu Lissu kuna utajiri gani? Labda uelewa wako wa wilaya masikini ukoje?
 
Back
Top Bottom