Naam ndugu Castr,
Unaweza kupata ATM Card, na kuiwezesha kufanya online transaction pindi utakapotutembelea na kuomba rasmi kuwezeshwa kufanya huduma hiyo. Kwa sasa utaweza kuweka, kutoa, kuhamisha, kulipia bidhaa, kupata taarifa mbalimbali za masoko na mitaji, kuwekeza nk
Karibu sana.