Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Pole sana Emillias,
Tunaomba mawasiliano yako PM kwa ufuatiliaji na msaada zaidi.
Nimeshakujibu PM,pamoja na akaunti mamba za watoto.
Asante.
Pole sana Emillias,
Tunaomba mawasiliano yako PM kwa ufuatiliaji na msaada zaidi.
Nimeshakujibu PM,pamoja na akaunti mamba za watoto.
Asante.
Nami nakuja pmHello Chimdia,
Tunaomba taarifa za akaunti yako na namba ya simu unayopaikana tukusaidie (tutumie PM Tafadhali)
Asante
mambo yamekuwaa kitonga siku hizi safi sanaNaam ndugu,
Ni akaunti kamili kama akaunti zingine.
Karibu sana
mambo yamekuwaa kitonga siku hizi safi sana
Akikujibu ni tag
Na kadi ya bank naipataje baada ya kufungua hii?Naam ndugu,
Ni akaunti kamili kama akaunti zingine.
Karibu sana
Mimi nina akaunti yangu NMB nilifungua toka mwaka 2010 baadae nikaacha kuiwekea hela, sasa ni nataka kuitumia tena.Hello Chimdia,
Tunaomba taarifa za akaunti yako na namba ya simu unayopaikana tukusaidie (tutumie PM Tafadhali)
Asante
Hii bado inafanya kazi?Kwa sasa ni rahisi kufungua akaunti, piga *150*66# na fungua akaunti BURE.
Kwamba sio lazima afike ofisi zenu,hizi sio zile account za fasta?🤔Kwa sasa ni rahisi kufungua akaunti, piga *150*66# na fungua akaunti BURE.