Recent content by Nkwimba Ngulyati

  1. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ndugu Dotto Mnzava njoo huku utupatie ukweli, Siasa pembeni jamani.
  2. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Hausigeli `wanaowatega` mabosi wao wana ajenda gani?

    Mahausigeli wanaopandisha mashetani wanavituko kweli, Juzi wa kwetu amepandisha mashetani na kuvua nguo zote na kubaki uchi eti jini lake halitaki aolewe wakati yeye mwenyewe alidai ana mchumba. Hawa mabinti kwa kutega watu, noma babu kubwa! Wapo wasicahan wanaopewa dawa au hirizi na wazazi...
  3. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa kwa mwaka 2015

    Ngoja siku zifike.
  4. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri hamuitendei haki JamiiForums na members wake

    Umenena vyema wangu.
  5. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Zishinde changamoto ufanikiwe kimaisha

    Asante Ferdinad
  6. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Ajifungua Watoto mapacha walioungana katika eneo la kifua

    Nimepata taarifa kwamba hawa watoto wamekufa jana.
  7. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Updates: Madhara ya Mvua kubwa iliyonyesha maeneo ya Dar es Salaam

    Siku zote niungejua huja mwisho wa safari.
  8. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Tatizo la akina Dada kutoolewa

    Nawashukuru sana Wakuu ila niko sirious kabisa Evelyn Salt, Sodium, harakat
  9. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Tatizo la akina Dada kutoolewa

    Habari wanajamvi. Naomba kueleweshwa kuwa ni kwanini wanawake wengi waliojaaliwa na mwenyezi Mungu uzuri wa tabia na maumbo mazuri kwanini hawaolewi mapema wanakaa mda mrefu. Mimi hapa nilipo ninategemea kuolewa mwakani inshala mwenyezi Mungu akijaalia lakini rafiki yangu analalamika kila...
  10. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya Oscar Pistorius

    Mahakama hiyo hiyo imemruhusu kiongozi wa mashitaka kukata rufaa dhidi ya kosa alilopatikana nalo hatia Oscar Pistorius la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Imeelezwa kuwa kesi hiyo, sasa itaanza kusikilizwa katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa...
  11. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Vurugu za wakulima na wafugaji zafunga barabara Dumila

    Picha tuwahishie tafadhali.
  12. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Mkuu: Aliyezamishiwa suluhu kichwani apona

    NI miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani huku kisa kikiwa hakijulikani. Baadhi ya mitandao iliandika kuwa, jamaa huyo alipigwa sululu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu gesti, mingine ikasema hapana...
  13. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa afya na matibabu bure Desemba 7, 2014 PTA Sabasaba Dar

    Asante kwa taarifa nitakuja, hawa madaktari walinisaidia wakati wamekuja Bunda mwaka 2008 nilikuwa na tatizo la macho hadi leo wamekuwa msaada mkubwa kwangu, mbarikiwe na Mungu japokuwa sijajua madaktari wa kipindi hiki wanatokea wapi?
  14. Nkwimba Ngulyati

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza kulalamikia posho zao kuchelewa mikoani limeishia wapi?

    Ngoja waje wale wanaofanya hiyo kazi watupe mrejesho.
Back
Top Bottom