Upimaji wa afya na matibabu bure Desemba 7, 2014 PTA Sabasaba Dar

Upimaji wa afya na matibabu bure Desemba 7, 2014 PTA Sabasaba Dar

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618

Kutakuwa na tamasha la Uzinduzi wa DVD namba mbili ya waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam, utakaoambatana na huduma za upimaji wa afya na matibabu ya aina mbalimbali bure toka kwa madaktari mbalimbali.

attachment.php

​


Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinada, ndiye mgeni rasmi kwenye tukio hilo la aina yake ambalo linatarajiwa kuanza saa 3 asubuhi kwenye viwanja vya PTA Sabasaba litawasisha Vocapella, Martha Mwaipaja, Leah Moudy, AIC Vijana Chang'ombe, Acacia Singers, Papson Mastaki toka Kenya na Frank Hume toka Marekani.

Chanzo: Mtangazajiblogspot.com
 

Attachments

  • SDA.JPG
    SDA.JPG
    234.5 KB · Views: 359
Asante kwa taarifa nitakuja, hawa madaktari walinisaidia wakati wamekuja Bunda mwaka 2008 nilikuwa na tatizo la macho hadi leo wamekuwa msaada mkubwa kwangu, mbarikiwe na Mungu japokuwa sijajua madaktari wa kipindi hiki wanatokea wapi?
 
Back
Top Bottom