Vurugu za wakulima na wafugaji zafunga barabara Dumila

Vurugu za wakulima na wafugaji zafunga barabara Dumila

Belight Technology

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
583
Reaction score
129
Niko dumila, nlikuwa safarini kurudi Dar, barabara haipitiki kwa sababu ya vurugu za wakulima na wafugaji. Hapafai, matairi yamechomwa ni moto tu barabarani.

Askari wanachokifanya ni kuzuia magari yarudi mbali na eneo la tukio kwa kuhofia kuchomwa moto, pia magari yote watu wanaamriwa wakae ndani kwani vurugu hizi zikisogea kituo cha polisi watatumia risasi za moto. Mabomu ya machozi ndio yanayotumika kwa sasa.
=================

Sehemu ya vijana wakiwa katika picha tatu tofauti mara baada ya kuchoma moto na kufunga barabara barabara kuu ya Dodoma-Morogoro kwa kuweka vizuwizi mbalimbali hali iliyopelekea watumia wa barabara hiyo kushindwa kuitumia kwa masaa matano kabla ya polisi kutuliza hali hiyo iliyoanza majira ya saa 2 asubuhi na kudumu hadi majira ya saa 7 mchana katika mji mdogo wa Dumila wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.

Vijana wakazi wa Dumila na vitongo vyake wakiangusha gari aina ya Land Cruizer T 241 AMS mali ya mfugaji katika barabara kuu ya Dodoma-Morogoro wakati wa vurugu zilizodumu kwa masaa sita kwa kuweka vizuwizi kwa lengo la kumshinikiza mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bebdera kusikiliza kero za wakulima.

Askari wa kutuliza ghasia (FFU) Morogoro wakiangalia gari mara baada ya kuharibiwa wakati wa vurugu hizo kabla ya kulinyanyua.

Hapa askari na baadhi ya raia wakiwasaidia kuinyanyua gari hili
Gari hili likionekana mara baada ya kuharibiwa likiwa katikati ya barabara kabla ya kusukumwa na kulirejesha sehemu ambayo iliegeshwa.

Mwananchi akizngumza jambo na askari wa kutuliza ghasia muda mfupi kabla ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kuhutubia wananchi hao na amani kurejea katika hali yake ya kawaida.

Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Morogoro (RCO), Hamisi Selemani (kushoto) akiawaangalia vijana waliokuwa wakiimba nyimbo mbalimbali wakati wakimsubiri mkuu wa mkoa wa Morogoro ili awahutubie.

Rasta Man kushoto akijaribu kuwatuliza wananchi wenzake kabla ya mkuu wa mkoa wa Morogoro kuhutubia.

Sehemu ya akinamama wakionyesha kukerwa na jambo wakati wa vurugu hizo, hapa walikuwa wakimsubiri mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kuweza kusikiliza kero zao.
Mmoja wa vijana akitoweka na kreti la chupa tupu za soda mara baada ya kupora katika vurugu hizo.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akiwahutubia umati wa wananchi wa vijijini vyenye migogoro ya ardhi katika tarafa ya Magole wilaya ya Kilosa kwenye uwanja wa shule ya msingi Dumila jana.

Gari la mkoa wa Morogoro likiondoa eneo la mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la shule ya msingi Dumila wilaya ya Kilosa mkoani hapa.

Picha na francisdande
 
waache usenge wanafunga barabara ya nini kwani si wapimane ubabe mashambani kwao
 
Watu wamepewa madaraka kutatua migogoro na matatizo hawawezi kabisa ila kupiga soga za matibabu ya tezi Dume.

Cha ajabu nikuchekacheka tuuuuu, tazama leo ni sherehe za uhuru huyu jamaa kaenda kucheka nakusikilza milio ya mizinga.

Hakika not yet Uhuru untill CCM has been toppled out and fallen apart.
 
We jamaa utakuwa mpumbavu na punguani sana, so unataka kila kitu ufanyiwe na Raisi, Pnguza Usaha Rohoni, utakufa kwa pressure. chuki juu ya Raisi hazitaokufikisha popote
 
We jamaa utakuwa mpumbavu na punguani sana, so unataka kila kitu ufanyiwe na Raisi, Pnguza Usaha Rohoni, utakufa kwa pressure. chuki juu ya Raisi hazitaokufikisha popote

kazi ya rais nikuhakikisha wasaidizi, yaani wateule wake wanafanya kazi kwa weledi na ufanisi. kushindwa kwao nikushindwa kwa Rais.

Tumesikia migogoro ya wakulima na wafugaji kwa muda mrefu sasa kama waziri husika hawezi kwanini rais hafanyi marekebisho ya uteuzi.

Upumbavu wa rais kikwete kukumbatia mawaziri na watendaji wajinga na wapumbavu ndio unapelekea unayoyasikia.

Kwasababu uwezo wako wakufikiri ni tatizo sion tusi la kukufaa ila kukusamehe, maana unashabikia ujinga na upumbavu kutoka mkenua menu.
 
ukitaja escrow naishiwa nguvu

Mkuu ndiyo ukweli wenyewe, viongozi wetu wanaweza ufisadi na propaganda basi.

Kila kona ya taifa hili niwakulima nawafugaji au wawekezaji wakifukuza wakulima na wafugaji

-Tanga hali sio shwali na watu wameuwana huko

-Arusha ndo usiseme balaa na wanauwana kila wakati

-Morogoro , toba mungu atuepushie huyu kiongozi

-Mara yaleyale

-Geita nk

Sasa unapokuwa na tatizo lakitaifa bila kupata majibu kwa muda mrefu anabeba lawama zote ni Rais wa nchi kushindwa

kuwajibisha wahusika kwa uzembe unaopelekea tatizo kukuwa kilasiku.
 
kweli mkuu
 
waache usenge wanafunga barabara ya nini kwani si wapimane ubabe mashambani kwao

Kweli mkuu, hayo majitu majinga sana.Wamelewa amani kila siku wanakuja barabarani tu, waulize wenzao wa pwani jana wenyewe wamepatana baada ya kuchinjana. Hawa wanatishia kujamba wakati wana tumbo la kuhara! acha waende porini wapimane ubavu sio kufunga barabara kwani wanalima lami na kulisha ng'ombe wao road furniture!
 
Watu wamepewa madaraka kutatua migogoro na matatizo hawawezi kabisa ila kupiga soga za matibabu ya tezi Dume.

Cha ajabu nikuchekacheka tuuuuu, tazama leo ni sherehe za uhuru huyu jamaa kaenda kucheka nakusikilza milio ya mizinga.

Hakika not yet Uhuru untill CCM has been toppled out and fallen apart.

We hujui kitu unawaza chadema tu laiti ungelijua juhudi za.serikali usingeleta ushabiki hao watu ni wajinga sana, wameshaweka makubaliano lukuki lakini wana hamu ya damu.
 
Ni mbinu mbadala ya kushirikisha na wengine wakiwamo viongozi iliwakatatue migogoro sio kutalii na kula fedha za ESCROW.

fuatilia historia ya mgogoro huo sio kukurupuka tu.
 
kazi ya rais nikuhakikisha wasaidizi, yaani wateule wake wanafanya kazi kwa weledi na ufanisi. kushindwa kwao nikushindwa kwa Rais.

Tumesikia migogoro ya wakulima na wafugaji kwa muda mrefu sasa kama waziri husika hawezi kwanini rais hafanyi marekebisho ya uteuzi.

Upumbavu wa rais kikwete kukumbatia mawaziri na watendaji wajinga na wapumbavu ndio unapelekea unayoyasikia.

Kwasababu uwezo wako wakufikiri ni tatizo sion tusi la kukufaa ila kukusamehe, maana unashabikia ujinga na upumbavu kutoka mkenua menu.
Counting other people's sins, does not make you saint. – Hussein Nishah

Source : Hypocrisy Quotes, Sayings about being fake (59 quotes) - CoolNSmart

Counting other people's sins, does not make you saint. – Hussein Nishah

Source : Hypocrisy Quotes, Sayings about being fake (59 quotes) - CoolNSmart

Huna lolote la maana zaidi za chuki tu kwa Rais and thus y unamwita jina kama hilo, Kwnz inaonekana huna hukupata malezi mazuri wala mafunzo ya Dini usingeweza kumwita kiongozi wako na wazee wako jina kama hilo,
Nini maana na umuhimu wa Decentralization, au unataka kila jambo basi Raisi amfute waziri au mkuu wa mkoa kazi
Counting other people's sins, does not make you saint. – Hussein Nishah

Source : Hypocrisy Quotes, Sayings about being fake (59 quotes) - CoolNSmart
Counting other people's sins, does not make you saint. – Hussein NishahCounting other people's sins, does not make you saint. – Hussein Nishah

Source : Hypocrisy Quotes, Sayings about being fake (59 quotes) - CoolNSmart
 
Ni zaidi ya lisaa limoja barabara kuu ya Dar es salaam Dumila imefungwa na wananchi kwa magogo na kuchomwa Mipira.Sababu ya vurugu hizi ni kuishinikiza serikali kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji ambayo imesabisha vifo vya watu kiasi cha wakulima kushindwa kwenda mashambani kwa hofu yakupoteza maisha,wakulima wameijulisha serikali mara kadhaa juu ya migogoro hiii ila serikali haikuchukua hatua zozote,Polisi wanajitahidi kutuliza fujo ila wanazidiwa nguvu na wakulima,vyombo husika vitafute namna kutuliza ghasia ili kurudisha amani
 
fuatilia historia ya mgogoro huo sio kukurupuka tu.

Leta Historia ya migogo ya ardhi

1. morogoro kwa muda mrefu

2. Tanga kwa muda mrefu

3. Arusha hususan babati kwa muda mrefu

Kabla hatujaenda mikowa mingine, mimi ninachofaham ni upumbavu wa kikwete kukumbatia wapumbavu kama Anna tibaijuka na wenzake ambao uwezo wao umeishia katika ufisadi na majanga kama ESCROW

Leta wewe sababu tofauti, na leta historia unayojivuna nayo kamasiyo ulimbukeni wa fikra.
 
ukitaja escrow naishiwa nguvu

Ni upepo tu, utapita.
1.bado unawakumbuka wahusika wote wa richmond?
2.picha za komba na dem wake zilizopamba kurasa mbalimbali hivi bado unazo kwenye simu?
3.Kubenea na Tindikali bado unaiongelea
4.Mwangosi na Ulimboka bado mnajadili kijiweni kwenu kweli?
5.Yuko wapi Kainerugaba Msemakweli?
6. Unajua hata alipo Jairo?
7.Vipi lile kontena alilosema amelikamata Slaa pale kibaha likiwa na kura tupu, bado mnajadili?
Hili nalo litapita.
 
kazi ya rais nikuhakikisha wasaidizi, yaani wateule wake wanafanya kazi kwa weledi na ufanisi. kushindwa kwao nikushindwa kwa Rais.

Tumesikia migogoro ya wakulima na wafugaji kwa muda mrefu sasa kama waziri husika hawezi kwanini rais hafanyi marekebisho ya uteuzi.

Upumbavu wa rais kikwete kukumbatia mawaziri na watendaji wajinga na wapumbavu ndio unapelekea unayoyasikia.

Kwasababu uwezo wako wakufikiri ni tatizo sion tusi la kukufaa ila kukusamehe, maana unashabikia ujinga na upumbavu kutoka mkenua menu.

Haya mamigogoro yameletwa na chadema kuvunja mshikamano na kuwagawa watanzania kiitikadi na mambo ya kutumia nguvu na maandamano kwa kila jambo wenyewe mnaita nguvu ya umma wanakijiji wanaitafsiri hivyo.
 
Back
Top Bottom