Recent content by Nkwabi Jetta

  1. N

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Huyo ana nyota ya kifo cha mapema
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Hakuna kitu kama hicho na hizo ni ndoto za mchana kweupe
  3. N

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nataka kujifunza ujuzi wa kuruka na ungo, naomba kufundishwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Jamani vp huo upepo mkali na mvua Pwani na Dar kuna dalili au ni maghumashi ya maccm?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa: "Pascal Mayalla hajafiwa na Mke"!

    Inatokea, siyo inatokeaga!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Ndo maana huwa linasinzia ovyo bungeni...!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

    Aliona kuna fursa akaamua kuitumii
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

    Kama ulikufa ni wewe kivyako, sisi wengine tunaitambua na tunaitaka Tanganyika yetu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Ndege wenye kinyesi cha ajabu Kagera

    Mungu twakuomba uuepushe mkoa wa Kager usiendelee kuwa chimbuko la majanga. UKIMWI, MNYAUKO NA SASA HAO NDEGE
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    si vema kukoment ujinga, usichokijua kiache!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Ccm na chadema wote vipande vipande. Lowasa ni ngoma nzito na zzk ni tambo...! Jogoo awike asiwike lazima kuche. Wazozane wasizozane lazima 2015 ifike.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Si kweli, haiwezekani ikafanyika kimyakimya wakati kila mtu anatafuta credit kuelekea 2015. Na kama mpango huo upo basi utaishia wama na dar kama ambavyo vitambulisho vya taifa vilivyogota dar
  13. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Watauana hawa, wako wengi wanaopatamani ikulu. Membe, sita, january, ngeleja, ..,.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

    huo ni mtazamo wako na baba yako.... Na sio kwa wote
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    ukihukumu na wewe utahukumiwa...!
Back
Top Bottom