Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
Bifu LA vijana wa Kagame was humu janvini utaliweza??!!. Ngoja akina MURUTONGORE waje home vumbi lakehao ndege wametumwa na kagame, nafikiri wakati wa kumchapa kagame sasa umekaribia.
Bifu LA vijana wa Kagame was humu janvini utaliweza??!!. Ngoja akina MURUTONGORE waje home vumbi lakehao ndege wametumwa na kagame, nafikiri wakati wa kumchapa kagame sasa umekaribia.

habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa hawa ndege wamekuwa wakizi taget nyumba za wanachama na wakereketwa wa ccm na kuzinyea!!!!!!
Sikuwahi kuuamini uzushi mkuu!habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa hawa ndege wamekuwa wakizi taget nyumba za wanachama na wakereketwa wa ccm na kuzinyea!!!!!!
Bifu LA vijana wa Kagame was humu janvini utaliweza??!!. Ngoja akina MURUTONGORE waje home vumbi lake
hao ndege wametumwa na kagame, nafikiri wakati wa kumchapa kagame sasa umekaribia.
Sikuwahi kuuamini uzushi mkuu!
Mungu twakuomba uuepushe mkoa wa Kager usiendelee kuwa chimbuko la majanga. UKIMWI, MNYAUKO NA SASA HAO NDEGE