Recent content by nkosa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Kama unapenda ukewenza na kufa kibudu badili
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtu ambaye hukumtegemea kabisa anapokufanyia jambo hili unapatwa na kigugumizi cha hisia

    Duh Yaaani we jamaaa kila ukirudi hewani lazima uje na kituko, kwakweli hili ni la fungua mwaka 2018
  3. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Jamani wanajamii, watu wanachanganya sana konsonanti "u" na "hu". Sasa Dada anasema kama una mchumba njoo, hapana anamaanisha kama huna mchumba, ndo maana anasema kama unataka kuoa, hapa Yupo sahihi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki watoa waraka mwingine 2010

    Kwakweli nimekupenda sana kwa uchambuzi wako ulioufanya. Kanisa bado tunao waumini wenye mtazamo na kumbukumbu ya kutosha ya matukio mhm sana kama hayo. Nakuoongeza sana ndugu yangu kwa tafakari-moyo hii uliyotuletea. Mungu akubariki sana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

    Huna akili, mwili wako si daladala la kila MTU. Mburula sana wewe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    PM ndo nini?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Kama wewe ni mkatoliki tafadhari mwone padre wako au paroko wako akupe ushauri unaofaa. Ni ngumu sana kusema kwa mmeo pia ni ngumu sana kukataa kuolewa maana heshima ya mwanamke yeyote kama hakuchagua Maisha ya wakfu, anapaswa kuolewa na kuwa na Mme. Mimi ni PADRE ila sijui wewe upo pande zipi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waume za watu bidhaa adimu

    Kwani yeye ameolewa?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

    Hongera sana kwa ujasiri wako. Mungu akupiganie na sali sana ili Mungu akupiganie. Usiuze mwili wako kwa kazi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kuwa na pesa bila mtoto

    Pole sana kaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Duh
  13. N

    JamiiForums Tanzania Aisée sitoisahau hii

    Sema bwana
Back
Top Bottom