Mkuu isome vizuri hujaielewahahahaha unampigia simu mtu wa bajaji siku zote hizo hujui kama ni baba wa huyo demu, chai kabisa hii hata usiendelee
Mteja alighairi safari baada ya kusikia jina mgonjwa kumbe mgonjwa mwenyewe ni mwanae ahahahaha unampigia simu mtu wa bajaji siku zote hizo hujui kama ni baba wa huyo demu, chai kabisa hii hata usiendelee
Acha uboya ww..toa hilo li sign
Ulitaka niseme Nissan nyeupe ?Sijaamini bajaji? Saut Mwanza? Uongo mwingine mh...