Recent content by Nkondo Adda Kubini

  1. Nkondo Adda Kubini

    Kwanini watu wenye albinism hawajiunga polisi na jeshi la ulinzi kiujumla?

    Kwa sasa siyo sahihi na wala siyo rafiki kumwita mtu mwenye ualbino. Zeruzeru au mtu mwenye ulemavu wa Ngozi jina sahihi ni mtu mwenye ualbino basi
  2. Nkondo Adda Kubini

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Jambo likianza kwa Hofu huisha kwa Hofu,lakini ulichouliza ni Sahihi kwa nini hawaku-off load mzigo
  3. Nkondo Adda Kubini

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Kaka hata Police na watu wengine walijaribu kumutua lakini wapi
  4. Nkondo Adda Kubini

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Alikuwa anashika kuubalance mzigo manake bila hivyo angeweza hata kuvunjika Shingo
  5. Nkondo Adda Kubini

    Pwani Kibaha: Kibaka ajisalimisha kituo cha Polisi baada ya mzigo alioiba kumng'ang'ania kichwani; mwenye mali amtua

    Drs wanasema hiyo ni theory gani katika Laws of Motion,wachungaji pia wanasemaje katika biblical theories zao
  6. Nkondo Adda Kubini

    Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    Kama imeanzia bei hii itafika hadi 1300 hiyo ndiyo tabia ya soko la Pamba
  7. Nkondo Adda Kubini

    Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Prominent. Figure kama Masogange hawezi kufa kwa typhoid, that is Primitive desease unless unataka kusema was also Primitive
  8. Nkondo Adda Kubini

    Kwanini Prof. Assad hakumwambia Rais kuhusu matumizi yasiyojulikana ta Trillion 1.5 alipokabidhi ripoti yake?

    Audit siyo investigation, investigation siyo research siku ukijua tofauti ya maneno hayo utakubari maneno ya raisi wetu na Mkaguzi mkuu
  9. Nkondo Adda Kubini

    Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Mimi Niko 50+Nina mke na watoto saba Professional Yangu ni Social Scientists ni msabato na nimesoma seminary Sema taja sifa nyingine
  10. Nkondo Adda Kubini

    Sijaelewa sababu ya mlinzi huyu kumshika mkono Afande Sele alipokuwa anasalimiana na Dr. Magufuli

    Mkono alioshikwa ulikuwa na mic ambayo inaweza kutumika kama silaha
  11. Nkondo Adda Kubini

    Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Mwanadada umeongea jambo la msingi sana,kwa ufupi unataka rafiki wa kubadilishana nae taarifa na uzoefu kimsingi hili ni jambo jema na lenye kheri kwa mtizamo wangu unarespond katika moja ya theories za personal development inayosema if a person wants to develop has to do the following Plan,walk...
Back
Top Bottom