Recent content by nkisumuno

  1. N

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    HIV tucta mko wapi kuwaunga mkono walimu tuache kucheka Cheka hali so nzuri kwa nini wasikamatwe waliokuwa wanalipa waeleze walikuwa wanamlipa nani hewa haiwezi kupokea malipo. kwa mini waumizwe wafanyakazi halali kwa kusema hewa. watanzania ebu kwa pamoja tupaze sauti zetu tutaua elimu yetu.
  2. N

    Madhara ya kushirikiana na Israeli!

    Israel ni nchi muhimu Sana Katika maendeleo hata marekani wanawategemea Sana Israel Katika maendeleo yao ni nchi yenye agano na Mungu atakayeibariki Israel atabarikiwa na atakayeilaani atalaaniwa na Ndiyo maana tz licha ya rasirimali nyingibado tuna umasikini mkubwa.
  3. N

    Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Uongozi wa juu unajukumu la kurejesha furaha na mshikamano na ndipo tutakapofikia maendeleo ya kweli, kiongozi ni Vema kukubali kukosolewa. Upinzani si uadui
  4. N

    Mambo nisiyokubaliana nayo katika Serikali ya Magufuli

    Baadhi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye malipo na kuwafanya waishi bila mishahara Tangu mwezi wa 4 wakati Wapo kazini ajabu wakurugenzi waliofanya Makosawamepewa ukuub wa wilaya
  5. N

    Rais Magufuli avuruga wengi

    namuunga mkono bisimba hekima no kitu muhimu sana raid hakupaswa kufanya vile yeye ni MTU wa mwisho ila kwa Jana ameonyesha upungufu kwa kuwauliza watu kuwa eti wanaotaka nitumbue wanyoshe vidole naona so busara no bora kufuata taratibu za kiutumishi zifuatwe
  6. N

    Mnyonge mnyongeni ila chake mpeni: Rais Magufuli alitakiwa kuliita daraja jina la "Kikwete"

    nakubaliana na wazo lako raise alipaswa kumpa heshima kikwete maana ndiyo mwasisi wake. hats hivyo watanzania wengi wanaogopa kusema kweli tunapomwombea rais kama anavyoomba tumwombee pia hekima na busara, tumshauri na kumkosoa kwa nia njema naye awe tayari kukosolewa. aidha ushauri wangu...
  7. N

    Tofauti ya posho ya usimamizi mtihani darasa la nne willaya na wilaya kuna uchakachua

    Kuna taarifa kuwa posho ya usimamizi was mtihani wa darasa la nne wa taifa zimetofautiana kati ya wilaya na wilaya mfano wilaya Fulani wamepata sh 170000,wengine 60000 wilaya nyingine 43000 wengine 30000 nk. Swali ni kwa mini mtihani uleule posho tofauti kama kuna uchakachuaji tafadhali...
  8. N

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nikupongeze rMCBll Magufuli kwa mwanzo mzuri. umeonyesha dhamira ya dhati kwa kuwa mkweli na mpenda haki umeyasema waziwazi matatizo ya serikali ya CCM pasipo unafiki mengi ya hayo wapinzani waliyapigia kelele sana baadhi ya mambo hayo ni sheria ya manuzi ya umma, safari za rais na viongozi...
  9. N

    ushauri wa bure kwa rais magufuri

    Nakuomba rais ujitahidi kutuweka watanzania tuwe kitu kimoja pasipokujali itikadi baada ya uchaguzi kuna wanaccm wanaodhani nchihii ni yao sass wanajipanga kuwashughulikia wale waliokuwa kinyume na ccm na has a wafanyakazi. Kuna MTU wa ccm alisama ukipita Fulani was ccm cha kwanza washughulikie...
  10. N

    Tahadhari kwa watanzania mwaka huu 2015

    Tuache ushabiki wa kisiasa pasipo kuchambua mambo.wapo walioshabikiwa walipopata uongozi wameharibu mno. Tuwe waangalifu
  11. N

    Mambo yatakayo waondoa CCM madarakani

    Mambo yatakayochangia kuanguka kwa serikali ya ccm ni kama ifuatavyo: 1. Kiburi cha viongozi wake. 2.uchakachuaji wa katiba. 3. Wizi na dhuluma ya viongozi 4. Kujitajirisha kwa viongozi huku umaskini wa wananchi ukiongezeka. 5. Kujenga shule za kata kwa ajili ya maskini huku watoto wao...
  12. N

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Wadau kwa wenye kujua sababu za maalbino kuuwa na kupotea mara inapo karibia uchaguzi?
  13. N

    Malimbikizo, vyeo na madai mbalimbali Julai

    kweli kabisa hii serikali inatuona kama wote hatuna akili, mimi niwaombe watanzania kwa ujumla tufike mahali tuseme imetosha kudanganywa walipe wasilipe wapigwe chini, utakuta sasa wanatandaza nguzo mara magreda barabarani wakati waliahidi kujenga barabara baada ya uchaguzi nguzo zinabaki hivyo...
  14. N

    Malimbikizo, vyeo na madai mbalimbali Julai

    Nimeona kwenye taarifa TBC serikali imeahidi kumaliza kero za wafanyakazi mwezi Julai. Swali wanafanya hayo kwa ajili ya uchaguzi? Sasa naamini serikali hii haina nia nzuri na watanzania. Maana ingekuwa na nia nzuri ingekuwa inalipa kwa wakati ili watanzania waendelee kupata huduma bora. Basi...
  15. N

    Walimu wote tafadhali someni hapa

    Ni mwaka mpya ambao utaambatana na mambo mengi ukiwamo uchaguzi mkuu,uboreshaji wa daftari la kudumu na upigaji wa kura za maoni ya katiba mpya. Katika matukio yote hayo utakuta walimu hutumiwa na kulipwa pesa kidogo. Najiuliza maswali kama walimu wana umuhimu kiasi hicho hv serikali...
Back
Top Bottom