Hii ni kweli kabisa! Watanzania tujifunze technology kama hizi,wakenya walishatuona waahamba sana kipindi cha nyuma ila kwa sasa wamenyanyua mikono. Watanzania tukiamua tunaweza!
Ahsante mtoa post umenitia moyo! Pia kwa kuongezea,
Watakaotaka kujifunza programing language yeyote tembelea...
Akili ya mwanadamu ina limit yake katika uwezo wa kutatua matatizo! Try to call for help from God if you believe in Him whenever you encounter such situations! Please don't kill thyself! Maisha yako na vivyo uhai wako una thamani sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.