Recent content by nkindikwa

  1. N

    Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

    walitakiwa wamuue kabisa ameliiuza taifa letu. hataree
  2. N

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    kiuhalisia Hali sio shwari Kanda ya ziwa. imekuwa wahanga wamikataba mibovu sana ktk nchi hiii. wameuza madini yetu. wamepora ardhi yetu. watu wake masikin kwenye utajiri wakutupwa then wanakuja navihoja vyakkuokoteza wameuza bandari kwawajombo zao. tuwazomee wote hawa
  3. N

    Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    ushauri mzuri lakin tumeshachelewa pakubwa Sanaa Tena mnoo. nchi imeuzwa kijinga sanaaa
  4. N

    Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

    yaanii inauma saana aisee. nilishangaaa. yanii mbona gafra saana gari Kalihatariii kumbe wamehongwa
  5. N

    Kumbe ushamba bado unaendelea…

    magufuli aliziba mianya ya wahuni. waakaanza kumuita jina baya kwa sauti ili wamuue. nakweli wakafanikiwa. ila. damu yake. nambegu aloipanda kwa watanzania itamea hatumaye itaota mizizi ipo siku ambayo Haina jina. atatokeaa zaidi ya magufuli. nchi itasonga
  6. N

    Baada ya Rais Samia ni zamu ya Mkristo?

    akili huna. ndo watu. wanaojitambua. nakutambua thamani ya rasilimali. zetu. bila kujipendekeza kwa watu. angalia chuma alivokuwa Dunia mzima ilisimama nakuanza kujiuliza. mbona wananchi wanaambiwa ukweli kuhusu rasilimali za nchi yetu. zikaanza kunufaisha. nchi na sio kikundi kidogo chawaporaji
  7. N

    Natafuta Mchumba/Mume

    lakin hapo unapofanyia kazi hakuna wanaume ambao wanaweza kukuoa acha kujidhalilisha
  8. N

    Natafuta Mchumba/Mume

    huna akili wew. umri 32 hujaolewa unasubili Nini Sasa afu unasema mume awe na degree kwani hiyo degree inakuoa. [emoji1][emoji1] eti awe hana mtoto. mmmh we dada unaota au upo sawa amka. nenda kajisaidie mana naona usingizi umekizidia namindoto ya...
  9. N

    Mseven Anazidi kuivimbia Marekani

    raisi antakiwa awe mtu wakijiamini. kama alivokuwa MUGUFULI Tanzania Dunia nzima ijue kweli nchi inakiongozi. sio mapapet tilulio nao Leo wengi wao wanafiki wamejawa masilahi binafsi aibu kabisaa
  10. N

    Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

    hawezi. mwenezi pekee. alikuwa polepole alikuwa nauwezo wakufanya ziara nakutoa maagizo Kwa serikali. nayakatekelezwa. wengine. wanaputanga tuu
  11. N

    Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    mjinga saana ww nchiii inawazarau saana wasukuma kwasababu yaupole naukalimu wao wanaonekana wajinga ila naamini IPO siku wakiamuka nakujiunga nchiii haitakuwa salama mwenye akili ataelewa na Sasa underground movement zitaanza kuhamasisha umoja wajimii wyakisukuma kujiokoa namanyanyaso...
  12. N

    Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

    jambo hili linaniumizaga saana Mimi unakuta huna mtaji hata wa 20m. ila unakutana mamibango. nchi nzima mfano. tuna halimashauri 138 Kila halimashauri Bango 500 maana yake. 238x500= 69000 chukua bango 69000x1000000=69000000000 bilioni 690 yaani zinaweza kulipa bima ya afya nchi nzima. na...
  13. N

    Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    waziri mkuu. muongo saana. haaminiki alitudanganya. kuhusu magufuri. eidha alikuwa anajua mgonjwa au amaekufa. anatuambia magu yupo fit. anachapa kazi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] anaongea kwenye mimbali ya msikiti. unaongopa kabisa msikitin. ambapo tunaamini MUNGU anakuwepo mahala...
  14. N

    Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Chalamila nimiongoni mwa viongozi Bora saaana anamsimamo. thabiti kabisa ataiweza dsm tena sana namkubali sana yupo smart sana. mfuatiliaji mnooo Tena Hana masihala kwenye kazi
  15. N

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    watu wenye akili yakuona mbaali. tumeshabain nini kimelegwa kufutwa 1. Makanisa. mengi saana yamelegwa kufugwa. hiii ikimaanisha kwamba nchi hiii itakuwa nadin. roman, usabato na uisilam tuu katk nchii. 2. wamelenga kudhooofisha raia ili iwe rahisi. kutawala. coz raia wanatakiwa kuwa...
Back
Top Bottom