Baada ya Rais Samia ni zamu ya Mkristo?

Baada ya Rais Samia ni zamu ya Mkristo?

Wakristo wanaongoza vibaya,ni mtazamo wangu.
akili huna.

ndo watu. wanaojitambua. nakutambua thamani ya rasilimali. zetu. bila kujipendekeza kwa watu. angalia chuma alivokuwa Dunia mzima ilisimama nakuanza kujiuliza. mbona wananchi wanaambiwa ukweli kuhusu rasilimali za nchi yetu. zikaanza kunufaisha. nchi na sio kikundi kidogo chawaporaji
 
Nani wa kusimamia hivyo vigezo kama nguvu zote zimelundikwa kwa mtu mmoja tu na hawa wengine ni kupewa maelekezo na kuitikia na kutenda?
Ndio mnaona leo hayo mapungufu ya kikatiba?
Unatakiwa uwe na miaka 40 na elimu kuanzia shahada ya kwanza na kuendelea.
Uwe Mtanzania.
Haijasema lazima uwe na dini fulani?

Wa kusimamia vigezo ni Tume ya Uchaguzi na sio vyama vya siasa
 
Dini, kama ilivyo kabila au jinsia, sio sifa wala kigezo cha competence ya kuwa Rais.

That's too low. Ndio maana tumefeli na kukwama mpaka sasa
Ndio maana hii nchi Ina wajinga wengi kweli kweli mpaka JF
 
Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code

Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize

Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
USSR: Mkuu acha kuandika maneno ya haya! Nadhani mtazamo wako huenda ni finyu na tena wa aibu! Huo mtazamo wako ni kipindi cha chama kimoja ndugu! Embu zangatia sasa ni mfumo wa vyama vingi na kila chama kinaweka mgombea wake bila ya kujali dini embu. Labda hilo wazo lako liwekwe rasmi kwenye kanuni na sheria za uchaguzi! La sivyo .........
 
Wanadai hii haijaandikwa ila inanguvu sana kuliweka taifa pamoja na inalindwa na Baraza la usalama la kitaifa kuwa ni lazima utake usitake unaweza kuita top secret or classified code

Baada ya Nyererea akaja Mwinyi, baada ya mwinyi akaja Mkapa, baada ya mkapa akaja Kikwete, baada ya kikwete akaja magufuli na baada ya kifo cha Magufuli akaja Samia hapa baada ya Samia ni mkristo na hakuna short cut kama unautaka itabidi asubilie ajaye mkristo amalize

Poleni sana watu wa Tanga hii match mmeshindwa mapema labda Wanasingida inaweza ikawa upande wao kipindi hili

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Baada ya Samia Rais 8n Mchagga au Mhaya au Mmakonde. Kila kabila na Rais wake hiyo ndiyo sera ya Majimbo ya CHADEMA. Of course tutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, tundulissu, akiwa kama picha, figurehead, hana madaraka yoyote hateui mtu yeyote anatukanwa kila siku.
 
Nenda kajifunze upya kuhusu sera na serikari za majimbo.

Nenda Italia, nenda Kenya, nenda Ujerumani halafu urudi kuja kutafakari ulichoandika
 
Engekuwa vizuri ukasema ni utaratibu wa kupokezana Wakatoliki na Wasunni.
Kwa waislamu, jee kuna wa madhehebu ya Shia au Ibadhi ambaye ameomba uraisi? Labda utufafanulie hapo.

Kwa taarifa tu, asilimia zaidi ya tisini ya waislamu wa afrika ya mashariki ni wa Sunni.
 
Kwa waislamu, jee kuna wa madhehebu ya Shia au Ibadhi ambaye ameomba uraisi? Labda utufafanulie hapo.

Kwa taarifa tu, asilimia zaidi ya tisini ya waislamu wa afrika ya mashariki ni wa Sunni.

Sijajua wale wanafuata maagizo ya muandamo wa mwezi kutoka saudia ni dhehebu gani la uislamu?
 
Back
Top Bottom