Recent content by nkese

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

    Kwa hiyo utopolo wataifunga Al Ahly siyo?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakupendwa sana lakini aliaminiwa na Watu wengi iwe kwa mazuri yake au hata kwa yale mapungufu yake!

    Alikuwa aina ya watu wanaotumia madhaifu ya hadhira kuwalaghai. Alikuwa tapeli la kisiasa,jambazi la mchana kweupee!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Carabao Cup 2023: Man United yapangwa kuivaa Newcastle United

    Mwaka huu kipara na treble ni mbingu na nchi!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

    Kwa hiyo kaanzia Dar Hadi kubakiza hizo 51 km?
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

    Sishangai Kwa make. Tatizo ni watoto. Elimu haijawakomboa. Laana itawatafuna.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Hana tofauti na hao anaowasema. Jizi tu. Hoja naikubali,mtoaji hapana. Jiziii!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

    Kama timu Yako haijauvunja kaa kimya! Mwanaume wa kweli hashangilii "bao" la mwanaume mwingine. Utamu itaujuaje?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

    Hakuna mwana ccm anayefikiri sawa sawa. Wote hamnazo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lissu atimkia Ulaya baada ya kuharibu

    Policcm hawaaminiki. Wanaweza kuwa wamemuwekea sumu. Lazima akachunguzwe na madaktari bingwa. Risasi walishindwa,wanaweza kuja na mbinu nyingine chafu! Mikutano ilikuwa inashiba,acha uchawa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamewapuuza wapinzani wa Samia. 2025 hata CCM wasipofanya kampeni Samia atashinda kwa kishindo

    Mjinga pekee ndiyo anaweza kuchagua mama wa kufikia!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Nenda kachomeke kadi au vuta Kwa mobile transfer. Ueiteseke na fedha IPO inasubiri maamuzi Yako!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Shukurani Kwani ni za mama yake au hisani?
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Mapolisi mwambieni anayewatuma msisumbue familia yangu. Nikamateni Mimi niko hapa acheni uwoga!

    Usijifiche Kwa Katiba mpya! Mageuzi ni lazima kuondokana na wakoloni weusi! Mi-ccm yasitutishe!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

    Unataka kumpangia mtu Hela yake,wewe nani? SI Kila mtu ni matangazo!
Back
Top Bottom