Recent content by Nkanyiso

  1. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Ndio, Baba yao alikua mkurugenzi wa Taasisi ya Afya Muhimbili enzi za Nyerere
  2. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji 20 Mizuri na Inayovutia Zaidi Barani Afrika

    Hawa safari Bookings naona hawajafika Luanda..[emoji1029]
  3. N

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Hapo la muhimu ni kwenda kwa Afisa Elimu wilaya wa shule ambayo unataka mwanao ahamie, ukijieleza vizuri atamwamisha kwenye mfumo haraka.
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP tuokoe na wizi ulioibuka Arusha unatisha

    Ndio maana JPM alikua ana deal sana na maaskari wababaifu, hadi wizi ulipungua
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Hana,waliachana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Uwa unasoma bwana vifungu ...usipotoshe watu, kwenye ukweli useme
  7. N

    JamiiForums Tanzania Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho haya, wengi huwa tunakurupuka kufunga pasipo kufanya maandalizi kiroho, kuna jambo hapo ningeomba ufafanuzi wa kina naweza kuku Pm
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya kuchapisha mabango na sticker Tabora

    Aloyson Brand
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Enzi hizo concert za wanafunzi zinafanyika Diamond jubilee,..... wakati wa fashion show kajala alipanda stejini alipofika katikati ya steji akavua khanga aliyojifunga kiunoni akabaki mtupu..[emoji17]..[emoji17].... ukumbi wote ulizizima..... Naona safari yake ya kuvua nguo stejini ndio...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Crack the password

    606
  11. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji23][emoji23][emoji23] pole sana...kuna wajuaji wengi sana humu
Back
Top Bottom