Inategemea uko sehemu gani! Kama uko Kanda ya kaskazini, Kuna kiwanda kiko maeneo ya wilaya ya longido mpakani namanga kinaitwa "eliya oversees" nafikiri ni wazuri, unaweza pata soko la uhakika.
Fundi wako ndo hajielewi. Yaani anashindwa kupima urefu wa nyumba na kufanya makisio sahihi? Mbona Mimi nimefanyiwa makisio kwa kupima nyumba na bati imebaki moja tu? Huyo fundi anaweza asiwe mzoefu wa kupaua. Nini kinashindikana Kama ana ramani ya nyumba?
Uongo mkubwa, dragon na sunshare ni mabati ya hovyo saaana. Mtaani waliotumia kuezekea wanapiga rangi Kila Mara. Hayo mabati yakijitahidi sana ni miaka mitano.
Wengine watakudanganya. Bati za uhakika ni ALAF na gharama yake siyo kubwa Kama watu wanavyodhani. Unaweza kukuta tofauti ni laki tatu au mbili. Sasa nyumba ya kudumu ijengwe na mabati yatakayopauka kwa sababu ya laki tatu?
Wanawake wa kichaga ukiamua kumuoa mmoja wao nawe si mchaga unahitaji kujipanga. Wanapenda kutafuta Mali, akiona huwezi kutafuta mnaweza achana, na Kama mnatafuta mkiwa vizuri, anaweza kukutafutia Visa ili mgawane au kukuua kabisa.
Ukweli amekuwa msaada sana kwa route hiyo. Hivyo wenyeji wanamhitaji kuliko anavyo wahitaji. Tatizo nafikiri ni wafanya biashara wa magari yanayoanzia mkoani. Amepunguza abiria wao hivyo wanaamua kumkomesha ili abiria wawe wanaanzia route mkoani siyo Kama yeye aliyejiongeza na kuanzia wilayani...
Imekuwa ni kawaida kwa magari ya route hii ya kampuni hii kupata ajari. Ninachoshangaa waandishi wahabari hawaripoti. Nimeshapata ajari na mabasi haya kwa route hii Mara mbili kwa mwaka Jana.
Daah. Huyu jamaa mwenye kampuni naamini anapitia najaribu makubwa kwa route ya karagwe to Arusha. Nakumbuka mwaka Jana magari ya kandahari ya route hiyo yalipata ajari zaidi ya Mara mbili. Moja ya ajari nilikuwa abiria. Cha kushangaza yanapata ajari yakiwa yanatoka karagwe ni siyo wakati...
Hivi siyo kwamba kigwangala katumwa ili migogoro isiyoisha ianze pale clabuni? Hivi tunaweza kumpa timu akaiendesha hata kwa miezi miwili? Hata kama hiyo 20b haijaletwa na timu inahudumiwa ipasavyo hawezi shauri uongozi kwa kutumia njia sahihi badala ya kushutumu mitandaoni.? Haoni maadui zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.