Recent content by Njombe Vijijini

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari wakuu. Hii ni urgent, anahitajika mfanyakazi atayehusina na procurement, marketing na administration, kampuni ipo Dar es salaam. Vigezo vikubwa viwili awe wa kiume na amehitimu degree. Aliye tayari anicheki haraka.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Kwa wadau ambao wanashindwa kuona grades zao, ukiingia tovuti yao kupitia ile link uliyotumiwa kwenye barua pepe nenda kwenye profile yako> my grades utaona hapo..
  4. N

    JamiiForums Tanzania Darasa La Kwanza B: Nini kumbu kumbu yako!?

    1998 shule ya kichangani nakumbuka palitokea matukio kadhaa yanayohusiana na uwepo wa majini shuleni maeneo ya chooni kulikuwa na harufu ya wali wakasema kuwa majini yanapika wali then ticha bigi (Mwl mkuu) aliuwa bundi niliogopa sana. Mwaka mmoja badae tukahamishwa hiyo shule ikachukuliwa na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wasanii waitwe wachafuzi wa jamii na sio vioo vya jamii

    Nadhani mkuu kuna kitu ambacho hujakielewa kuhusiana na huo msemo kuwa 'wasanii ni kioo cha jamii' Msanii anatumia sanaa yake (kuimba au kuigiza n.k) kuonyesha kitu fulani kilichopo kwenye jamii kiuhalisia au kugikirika. Kioo maana yake taswira (ni kama unapojitazama kwenye kioo, utachokiona...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada, Wino unaoonekana kwenye screen ya tablet

    Habarini wakuu.. Kuna tablet ya samsung 4 imeanguka, sasa screen imepata crack ndogo tu ila tatizoo kubwa ni wino unaonekana umetanda juu ya baadhi ya sehemu kwenye screen.. Naombeni mnisaidie ushauri jinsi ya kutatua hili je kuna uwezekano wa wino kutolewa au ni lazima kioo kibadilishwe?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uzinduzi wa Album ya A boy from Tandale ya Diamond

    Umesoma, umepata degree, kisha ujekufanya kazi serekalini kwa mshahara wa 150,000/= kwa mwezi kisa uzalendo?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

    Hakutakuwa na presumption of marriage hapo, diamond hajakaa na zari kwa muda unaotaja, zari ni kama hawara kisheria maana alikuwa anakaa south wakati diamond akikaa tanzania.. (Sijui kama unaelewa maana ya makazi hapo?) Kuhusu hilo la watoto huwezi mpangia diamond cha kulipa cha zaidi anaweza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Hongera sana Alikiba. Hao mashabiki waache unazi, waendelee hivohivo i hope itafika mbali sana maana wengi huwa wanazitelekeza videos baada ya muda fulani..
  10. N

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Mkuu Renyo Prado ya kuanzia mwaka 2008 naweza pata kwa kiasi gani?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

    Huyo Domo nyimbo zake zilikuwa hazipigwi hapo kitambo lakini bado anatisha.. Hao wasanii wanaochezwa nyimbo zao huko wamefika wapi kimafanikio ya kimuziki? (harmorapa, baraka da prince n.k) Ukweli utabaki palepale, kituo chenye nguvu ni clouds pekee maana wale watu msaada wao hauishii kwenye...
Back
Top Bottom