Nakubaliana kuwa KITWANGA NI MZIGO, madudu yaliyojazana Uhamiaji, Polisi, Idara ya Wakimbizi, na hata Mageraeza, yeye nasikia anatumiwa na wakuu wa idara hizo kujenga hoja za kutetea madhaifu kibao ya huko, eti kwa sababu walisoma naye!!
Unanilazimisha kukufundisha vitu tulivyojifunza long ago, any way kwa vile nimekuelewa unahitaji elimu ambayo huna, soma hapa:
Mental Age: Definition & Explanation | Study.com - Tafadhali elewa vizuri hizo tofauti (difference). Sina hasira tena, hapa tunaelimishana bwana. Kila la kheri
Uwezekano wa elimu yako kuwa ndogo sana Aau mental age kuwa ndogo ni mkubwa sana, kama ni shule zakuunga is up to you.
Plagiarism is something very different, in short, , is about taking someones work to be yours.
Mental age sio experience wala wisdom. Ni kasi ya ukuaji wa akili, kuna watu wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.