Recent content by njituni

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

    R.i.p mh.donald
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa gumzo Tabora, amfunika Lowassa

    Tupo tabora kwamba Zzk kamfunika EL ni uongo.sijajua kamfunika kwa namna gani.maana zaidi ya kuona magari yenye bendera za ACT yakipita mtaani na kuona gari ikitangaza kuwa kesho yeye na viongozi wenzie wakuu watafanya mkutano.Hakuna cha zaidi
  3. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Pole kwa familia ya Mama Maria Nyerere
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Kila jambo hufanyika kwa strategy Udini unaosemwa kuwepo ndani ya UKAWA hata ndani ya CCM upo.Cha kujiuliza wabunge wa ccm zanzibar % ngapi waislam ? Mbona hamkuchagua wakristo wakasimame kwenye majimbo hayo? Pia ukabila na udini hauangaliwi ktk jimbo mojamoja bali kama taasisi ni bunge zima...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

    Katika kila imani or madhehebu maovu yapo.Ukienda kwa waislamu ndani ya baadhi ya madrasa kuna ubakaji na makanisani vilevile sio katoliki peke yake. Hivyo kanisa ni sawa na nchi ambamo kuna waovu na watu wasafi.Pia kwa mazingira ya sasa dini imekuwa kama biashara people need market share from...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Matunda ya uanzishwaji wa Red Brigade ya CHADEMA yameanza kuonekana kwa vitendo!

    Mshahara wa dhambi ni hapahapa duniani.Dhambi aliyotaka kuitenda ndiyo malipo yake hayo.no one to blame
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela amekitaka Chama cha Mapinduzi Kumchukulia hatua kali za kinidhamu Lowassa

    Ni kweli maneno ya mzee malecela hayako objective maana angetoa sifa na mapungufu ya kila aliyetia nia ili tujue nani kazidi kwa mapungufu.But to much BIAS
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Kama ni yeye mungu atampatia adhabu yake hapahapa dunia
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wanne wa Amboni wakamatwa na wananchi wakishirikiana na JWTZ

    Kama ni wenyewe wapate adhabu maana wameiingizia nchi hasara kwa matumizi makubwa ya fedha
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

    Manyoni wanahitaji mabadiliko nao co bora kubadilisha.Kama mbadala upo co kesi
  11. N

    JamiiForums Tanzania ITV/Radio One, huyu mwandishi wenu wa Musoma ni muongo

    Malipo ni duniani.Kama anatumia kalamu yake vibaya nae ataishia pabaya.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi zile kazi zilizotangazwa na SUMATRA zimeishia wapi?

    Hizo bado hawajaita inaonyesha wanatatizo la budget maana nipo karibu na ofisi ya Sumatra mkoa fulani hadi leo Mhasibu hayupo na nafasi ilitangazwa ktk mkoa huo.It means bado hawajaajiri.Let us keep on waiting
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pinda amepuuza mambo haya ya msingi kwa kuibeba CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Funzo kwa kipindi kijacho ili maandalizi ya zima moto yasiwepo
Back
Top Bottom