CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

ponti

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
103
Reaction score
7
Tetesi zinazozunguka ni kuwa Chadema imepata nguvu sana Manyoni mashariki ambalo hilo jimbo lipo chini ya Mh Chiligati. Ingawa mh Chiligati hajaweka wazi dhamira yake ya kugombea, nguvu ya siasa inaegemea CHADEMA. Wasiwasi uliopo ni kama CHADEMA inaweza vunja ngome ya CCM Manyoni mashariki kwa mgombea wao wanayemuweka.
 
mtaje jina huyo mgombea ambaye chadema wanataka kumweka na ikiwezekana hata picha yake,acha poyoyo kijana
 
Manyoni wanahitaji mabadiliko nao co bora kubadilisha.Kama mbadala upo co kesi
 
Kijana mmoja anaitwa Ema kama mmewahi sikia. Kwa mwenye cv yake au pic aiweke. Je anaweza mngoa Chiligati? Au wengine watakao jitokeza?
 
Manyoni mashariki inaanzia Kintinku,Maweni, Chikuyu, Mbwasa, Sukamahela(au nunje), Mhalala Manyoni kwenyewe hadi Mkwese, kisha kuna Kilimatinde ,Chibumagwa, Udimaa, Majili,Makasuku,Sasajila hadi Ngaiti Igose, na mwambao wa bwawa la Tope au nyika ya sulingai, unaenda Iseche, Mgunduko Nkonko hadi Heka.
Hayo ni maeneo ya CHADEMA na mbunge mtalajiwa ni Venance Mpuwa Mauchi kwa tiketi ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom