Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Status
Not open for further replies.
Papa Benedict alikuwa ni Papa wa kwanza kuwachia ngazi baada ya takriban miaka 600.

Kabla ya kuwachia kwake ngazi kuna mambo muhimu na ya aibu kubwa sana yalifichuliwa pale Vatikan na msaidizi wa Papa wa ndani (Butler) Paolo Gabriele ambae aliyavujisha ili ulimwengu uelewe madudu yaliyopo ndani ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatikano ambayo huyo msaidizi wa Papaalisema kaamuwa kuvujisha kwa kuwa alikuwa "hafurahishwi nayo".

Muda mfupi baada ya Paolo Gabriele kuvujisha siri hizo na baada ya kujaribiwa kufichwa fichwa na Paolo kuwekwa ndani kwa miezi mitatu kufunika kombe mwanaharamu apite, wakajuwa ndiyo yameisha.

Hamadi! kukazuka kashfa lingine kubwa kuliko alilovujisha Gabriele nalo lilitokana na kuvujishwa ripotu ya makadinali ya ndani ya Vatikan, ripoti ya kurasa 300 iliyokuwa ni siri kubwa sana, ikavujishwa kwenye gazeti mojawapo la Italia na kuanza kuoneshwa vipande vya ripoti kwa ulimwengu, vipande hivyo vilikuwa na uozo kila namna wa kuanzia ushoga mpaka jinsi wakuu wa Kanisa wanavyolawitiana wenyewe kwa wenyewe na kulawiti watoto na kujihusisha na Umalaya wa kiume na wa kike. Ukaonesha jinsi Kanisa linavyojihusisha na kusafisha fedha haramu za madawa ya kulevya na mengi mengineyo.

Hayo ndiyo yaliyomfanya Papa Benedict kuwachia ngazi.

Huyu Papa wa sasa kuwachia kwake ngazi wala sintoona ajabu, kwani hayo yaliyomuondoa Benedict aliyarithi na yalikuwa "hayajazimwa" wala Kanisa halijachukuwa hatu za kujirekebisha, makadinali mashoga wameendelea kuwepo Vatikano na umalaya wa kiume na wa kike kwa makadinali umeendelea kuwepo na benki ya vatikano ilijihusisha na fedha haramu ipo na uongoozi ni ulele.

Isitoshe, hata alipoulizwa huyu Papa wa sasa kuhusu ushoga, akajibu "kwani mimi ni nani?" hata nikemee ushoga!

Utajaza mwenyewe.
 
Kuna kitu hakieleweki! Naombeni kujuzwa..

Nimepata shauku ya kujua kwanini Hawa Popes wamekuwa hivi siku hizi!? Najua kuna mnaoyaelewa haya mambo kwa uzuri zaidi, tafadhalini piteni hapa tupate faida!

Nawaomba: Ishmael, Ally Kombo, mgen, kahtaan, 2013, FaizaFoxy na wengineo..

Angalizo: Chonde chonde, mihemuko pembeni, Mi nataka kujua tu!

Tuanzie na Papa Benedict, Kwanini Alijiuzulu ghafla? Najua zipo sababu kwa kuwa huu sio utaratibu uliozoeleka kwa Kanisa hili kubwa duniani!

Na kuhusu Mdau uliyesema ni chokochoko za BBC, Una maana gani? Nimepata shauku ya kujua pia aisee!

Sibanduki humu mpaka nipate majibu.......

For those who did not see this letter. Here it is from Vatican newspaper L'Osservatore Romano,
Benedict's retirement letter, dated Feb. 10:

pope-comic-sans-3.png
 
FaizaFoxy

Sasa ni nini hasa kinacholeta huo uozo na inashindikanaje kuudhibiti?

Hakuna zaidi ya kuwa wamewacha njia ya Mwenyeezi Mungu na kufata njia ya shetani. Warudi kwa Mwenyeezi Mungu, ndiyo njia pekee ya kuumaliza huo uozo.

Lakini kuliambia Kanisa Katoliki warudi keenye njia ya Mwenyeezi Mungu ni kama kumpigia mbuzi guitar. Ukisoma historia, utakuta Makanisa mengine mapya yaliochipuka baada ya Kanisa Katoliki ni kwa sababu ya waliyoyaanzsha kutoridhishwa na uozo wa Vatikano. Hilo ni janga lililopo Vatikano kwa karne na karne si la leo wala la jana.

Sisi tuwaonea huruma hawa Wakatoliki wa kwetu huku wanaolifata hilo kanisa kama misukule, hayo yote wanayasikia na wanayajuwa lakini hawatanabahi hata chembe. Pole yao sana.
 
Asante kwa Majibu mazuri sana Mkuu,

Oh! Sawa sawa! Sikuwa na taarifa kwamba ukristo umepoteza waumini kwa asilimia 90 nchi kubwa hizo.. Niliwahi kusoma sehemu kwamba dini hizi kuu (Ukristo na Uislamu) kwao wanaziita ni za mapokeo tu, hivyo wako kwenye mpango wa kuachana nazo kutokana na historia za dini hizi kujawa na machafuko tangu enzi! Kwa sasa wengi wao kwenye nchi hizo ni watu huru (wajenzi?)..

Nataka kujua zaidi, ni kipi hasa kinachowafanya hawa wakuu 'watoke' ghafla? Na iweje kama wao ndio wanaopitisha hizo sera za Uliberali, kinachowakimbiza ni nini? Je, wanatishwa? Na nani? Ni nani mwenye mamlaka zaidi juu yao? Wanahofia nini? Kwanini wanadai uhuru? Kwanini wanahisi hawako huru? Kwanini iwe zama hizi?

Sielewi vitu vingi.. Usichoke kunijuza Mkuu!

Mkuu wala usijali, we uliza tu.

Chanzo kikuu cha UKRISTO kusambarati ni pale Binaadamu alipoamua Kuziondoa SHERIA ZA MUNGU na Kuweka Sheria za MWANAADAMU ndani ya Maandiko matakatifu.

Jambo hili limefanyika Kwa Mihula Mingi tu na mfano mmoja mkuu wa Binaadamu Kuziondoa Sheria ZA MUNGU na Kuweka Za Kwao kwenye UKRISTO ni Pale ulipofanyika MKUTANO MKUU WA MAPAPA ULIMWENGUNI mwaka 325 AD Huko NICEA kwa jina la " Council of Nicea" uliitishwa na Emperor wa Roma kwa jina La Caesar Flavius Constantine.

Ukisoma Agenda ya mkutano huu uliowakusanya VIONGOZI WOTE WA Ukristo ULIMWENGUNI ndio utaona namna Gani Binaadamu Alivyozigeuza SHERIA na KANUNI za MUNGU na Kuweka Za Kwao.

Hapa ktk Mkutano huo Ndipo Baadhi ya Binaadamu walipopewa Cheo ya Utukufu na Kuwa na Mamlaka ya Juu kwa binaadamu wengine.
Na hapa Sheria NYINGI SANA ZA MUNGU Zilibadilishwa Na Kuwekwa SHERIA ZA MWANAADAMU.

Na juu ya kuwa kulikuwa na Upingamizi ktk kubadili Sheria hizi lkn Alichokitaka KAIZARI wa Rome Kilipitishwa.

Mfano wa Upingamizi huo ni wa huu.

A priest named Arius presented his argument that Jesus Christ was not an eternal being, that He was created at a certain point in time by the Father

Juu ya Huyu Muungwana Kusema Kuwa Yesu sio Mungu bali Ni Kiumbe wa Mungu Alipingwa Vikali Na Kuambiwa hana Hoja na kufukuzwa moja kwa moja na kupokonywa cheo chake.

Ukitaka Kujua zaidi kuhusu Mkutano Huu Gonga Hapa.

http://www.britannica.com/EBchecked/topic/413817/Council-of-Nicaea

Hapa ndipo tarehe za Pasaka na Christmas zilipoanzia na FITNA kubwa Ya kuuchawanya UKRISTO ilipoanzia.

Sasa tukirudi kwenye Swali lako la awali ni kuwa Tatizo kubwa Sio Uliberali au Wizi au Uzinifu Au Utapeli. Hivi vitu vimo ktk kila Taifa Na Kila Nchi, Tatizo Kuu ni Pale Sisi Binaadamu Tulipo amua Kuondia SHERIA ZA MUNGU na Kuweka Za Kwetu. Na Kama Tujuavyo kuwa Binaadamu Anaongozwa na Tamaa ya Vitu na Matamanio ya Nafsi yake na Sheria yyt atakayo itunga Basi LZM ITAKUWA DHAIFU na yenye manufaa kwa Wachache Na Hasara Kwa wengi.
Ndio maana Leo Hii UKRISTO Ule wa ASILI haupo Tena.

Suluhu ni KURUDI KTK SHERIA KUU ZA MUNGU BILA KUCHAKACHUA na KUONGEZA za Kwetu. Hapo ndipo Tutaona UTUKUFU WA MUNGU wa Kweli.

Nadhani nimesomeka Japo Kidogo.
 
Mmh! Sawa. Lakini Mkuu, huoni kwamba kwa viongozi wakuu kabisa (Popes) kuachia madaraka ghafla kutakuwa na zaidi ya hizo sababu? Kwa tafsiri yangu kutokana na sababu zako, ni kwamba Hao Popes wanashindwa kuendelea kutumikia K/katoliki kwa kuwa hawataki kushiriki katika 'uozo' huo. Je, ni kwamba wameamua kufuata njia ya M/Mungu?

Kuhusu Pope Benedict aliyepita, nimedokezwa kwamba aliachia ngazi kwa sababu za kiafya, kwamba aliona asingeweza kuendelea kutumikia Kanisa kwa Nyadhifa ile kwa ufanisi hivyo bora ampishe mwingine, yeye ataendelea kuongoza kwa kupitia sala zake!

Naweza kupata kufahamu zaidi nisiyoyajua? I'm just being curious, Usinichoke tafadhali.. Endelea kunijuza!

Hizo ndiyo sababu alizozitoa kwenye kuwachia ngazi. Kumbuka kuwa kwa miaka 600 kabla yake hakuna Papa aliyeachia ngazi, wote amma walifia madarakani, iwe kwa ugonjwa au kwa uzima au kwa kuuliwa na wengine walikuwa hoi kabisa hawawezi hata kujisogeza na wengine walikuwa wehu, Historia ipo si yangu hayo, lakini hawakuachia ngazi.

Mimi nimeandika mambo yaliyotokea kabla ya Papa kuachia ngazi, jee ni Papa yupi mwengine aliachia ngazi kwa sababu za kiafya? Fikiri.
 
Thanks a lot! Sikuwahi kuiona hii!

Kwa dodoso tu, na huyu wa sasa nae sababu unahisi zitakuwa ni za kiafya pia?! Na kuhusu tuhuma za Ushoga kwa Kanisa Katoliki kama ambavyo baadhi ya previous members walizozitaja, ni kweli zipo?
According to the annexed letter, he said is due to an advanced age he is no longer suited to an adequate exercise of the Petrine ministry.
 
Aisee! Ubarikiwe sana! Nimepata maarifa mapya na ziada!

Lakini wasiwasi wangu ni, kwanini iwe hivi kwa nyakati hizi?

Bado najiuliza, Kwanini Popes wanang'oka, tena ghafla? Nini hakiendi sawa? Au nao wanakuwa wahanga wa sheria hizi za wanadamu zilizopitishwa? Nauliza tu!

Kama sio, Je ni kwanini wapishe madaraka wakati si utaratibu uliozoeleka? Hii inawaacha katika hali gani ndugu zetu Wafuasi Wakatoliki?

Yapo madai kwamba Popes ni Wapinga Kristo, Kuna ukweli gani katika hilo?

Mkuu Ukatoliki uliobaki hivi sasa ni BIASHARA Tupu.

Vatican Imevaa nguo za Ukristo lkn nyuma yake ni BIASHARA HARAMU TUPU.
Leo Hii ulimwengu mzima Unatambua kuwa Biashara za Madawa ya kulevya, human trafficking, Udhalilishaji wa Watoto Na Kufua Pesa Haramu vyote hivi Vinafanyia Chini ya KANISA KATOLIKI LA VATICAN.

Na Kuhusu kwanini wanafanya hivi jibu lake ni fupi tu! Nalo ni TAMAA YA MAISHA YA DUNIA.!!

Binaadamu amekuwa Na Pupa ya mali kiasi kwamba Yuko tayari kumuuza Mtoto mdogo akabakwe na Tajiri ili yeye apate pesa.

Wachungaji wa Kikatoliki Wanaongoza kwa Kazi hii. Na Waliofikishwa Mahakamani Hawana Idadi.

WAKRISTO wanaompenda Yesu kikweli wanatakiwa Waamke na kuamua kumfuata yesu KIVITENDO TU.
Hapo Tz wachungaji Wangapi wamekamatwa kwa kosa la Ubadhilifu? Wengi sana.

Kwenye Kashfa Ya ESCROW mpaka MAASKOFU pia WAMEIBA PESA za Wananchi.

Sasa huo Ndio ukristo uliobaki duniani. Ni biashara tu na usanii.

Muulize huyu jamaa anaejiita mfuasi wa Yesu Akiingia humu Jf Kila siku Kujidai anawahuburi watu neno la Mungu anaetumia Jina La Ishmael Kitu gani aliwafanya Wanyonge huko anakoishi! Alifikishwa mahakamani kwa kosa lipi? Na je hayo ni ktk mafundisho ya YESU?

Watu wa namna yake Ndio wanaojiita wakristo na ndio wanaopeqa nafasi ya Kusambaza Sumu zao za Ushetani ktk Jamii ya WAKRISTO.

Sasa hapo Unadhani Ukristo ule wa ASILI utakuwepo?
 
Last edited by a moderator:
I don't know either. But I always follow what he said and not use others people's opinions.

He can say whatever he wants but the truth remains the same.

Vatican is a mother of all illegal businesses.
Drugs smuggling, human trafficking, money laundering, children prostitution, and Lots of Gay lobbies.
He couldn't handle all of that and thats why he quit.
Health issues got nothing to do with his resignation.

How long you guys will keep on lying to yourself?
They say "truth shall set you free"
I guess you are still a prisoner.
 
kahtaan

Mmhh.. Though it may sound too Personal, but please tell me.. What did Ishmael do? Halafu tuendelee na hili;

Ukristo wa kweli si ndio unasema ushachakachuliwa? Suala la Dini kufanywa biashara limetamalaki haswa, Hata kwetu huku ni mtihani ndugu, Lakini hii inahusiana vipi na mafundisho yaliyomo kwenye Bible? Kwanini PAPA wanajiuzulu????

Mkuu nothing personal here.
nimemtaja huyu jamaa kwa kuwa Rizki yake anaipata km Gwajima. Nayo ni so called Kutangaza neno la Mungu.

Sasa km Mtu anapelekwa Jela Kwa Kosa La kutapeli waumini na Kuwasababishia wazee wengine kupata magonjwa ya Moyo huyu kweli utamuita Mtangaza neno la Mungu?

Hii mijizi ndio inayoupaka Ukristo Matope. Na mpaka leo kazi hio anaendelea Nayo.
Sitaki kuzama sana deep manake tutageuza huu uzi.

MaPapa wanajiuzulu kutokana na Kushindwa Kuzibeba Hizi kashfa zote kwa Kivuli cha KANISA.

KUMBUKA hawa Mapapa kabla ya Kuteuliwa Walikuwa Waungwana tu lkn Walipoingia VATICAN ndipo Wakaona Sura halisi ya UKATOLIKI na Sio Zile Innocent Kwaya Wanazoimbiwa Na Watoto huko Walikotoka.

Sasa Kubebeshwa Mzigo wote wa KASHFA kwa Mpigo Inakuwa Ni ngumu sana kwao Kubeba.

Tazama mfano huu.

View attachment 234834

Hapo BBC imeweka Picha Ya PAPA na Kashfa Ya Watoto Kulawitiwa.

Sasa hebu nambie Mtu kachukua Kazi ya Kuwakilisha IMANI halafu Anakutana Na Jambo km hili Atavumilia Miaka Mingapi?

Na hilo Ni Moja tu, yako mengine km hayo Mengi mno.
 
Last edited by a moderator:
kahtaan

Ouupph! Scary!

Again, Kuna mdau hapo mwanzo aligusia kuhusu BBC.



BBC wana ajenda gani? Pengine waweza kuwa unafahamu kidogo!

Huyo mdau mdomo na vidole ni mali yake anaweza kusema au kuandika anachotaka lkn inafahamika kuwa hakuna Chombo cha habari duniani kikawa kiko safi 100% lkn BBC ikitoa Habari ambayo sio ya kweli Sheria za utangazaji Za kiingereza na Za Umoja wa mataifa Zinakuruhusu wewe au mimi au yyt yule kuwafungulia mashtaka na Kuwapiga Faini ya Mamilioni ya Dola.
Huyo aliyeandika hapo juu kuhusu BBC hebu mwambie akuletaa Sorce zingine zinazo kubalika Zinazosema habari Tofauti Na Hii.

Tatizo la Wakatoliki ndio hili.!
Badala ya Kuukubali Ukweli Na Kujaribu kutatua Matatizo yao Wanakataa kabisa kuwa Huu uchafu Haumo kwao na Wao wanaonewa!

Sasa sijui mpaka Mtu Mwanae Abakwe na Mchungaji wa kikatoliki Ndio Ashtuke?
Au Mpaka Aje atangaziwe Biashara Ya unga na Askofu wake ndio ashtuke?
Hapo hata mimi nashindwa kuelewa.

Sio BBC peke yake Inaelezea Haya mambo ya VATICAN.
 
Kuna kitu hakieleweki! Naombeni kujuzwa..

Nimepata shauku ya kujua kwanini Hawa Popes wamekuwa hivi siku hizi!? Najua kuna mnaoyaelewa haya mambo kwa uzuri zaidi, tafadhalini piteni hapa tupate faida!

Nawaomba: Ishmael, Ally Kombo, mgen, kahtaan, 2013, FaizaFoxy na wengineo..

Angalizo: Chonde chonde, mihemuko pembeni, Mi nataka kujua tu!

Tuanzie na Papa Benedict, Kwanini Alijiuzulu ghafla? Najua zipo sababu kwa kuwa huu sio utaratibu uliozoeleka kwa Kanisa hili kubwa duniani!

Na kuhusu Mdau uliyesema ni chokochoko za BBC, Una maana gani? Nimepata shauku ya kujua pia aisee!

Sibanduki humu mpaka nipate majibu.......

wacha uchizi hawa ndo wasemaji wa kanisa katoliki,usirudie tena upumbavu wako!
 
Huyo mdau mdomo na vidole ni mali yake anaweza kusema au kuandika anachotaka lkn inafahamika kuwa hakuna Chombo cha habari duniani kikawa kiko safi 100% lkn BBC ikitoa Habari ambayo sio ya kweli Sheria za utangazaji Za kiingereza na Za Umoja wa mataifa Zinakuruhusu wewe au mimi au yyt yule kuwafungulia mashtaka na Kuwapiga Faini ya Mamilioni ya Dola.
Huyo aliyeandika hapo juu kuhusu BBC hebu mwambie akuletaa Sorce zingine zinazo kubalika Zinazosema habari Tofauti Na Hii.

Tatizo la Wakatoliki ndio hili.!
Badala ya Kuukubali Ukweli Na Kujaribu kutatua Matatizo yao Wanakataa kabisa kuwa Huu uchafu Haumo kwao na Wao wanaonewa!

Sasa sijui mpaka Mtu Mwanae Abakwe na Mchungaji wa kikatoliki Ndio Ashtuke?
Au Mpaka Aje atangaziwe Biashara Ya unga na Askofu wake ndio ashtuke?
Hapo hata mimi nashindwa kuelewa.

Sio BBC peke yake Inaelezea Haya mambo ya VATICAN.

uñashindwa kuelewa kwa7bu kichwàni pumba km govi la marehem mudi mbakaji wà watt wa miaka9
 
uñashindwa kuelewa kwa7bu kichwàni pumba km govi la marehem mudi mbakaji wà watt wa miaka9
MR. CONFIDENT hawa ndio Wakatoliki wenyewe na hizi ndio hoja zao na hapa anaona kamtete Yesu kwa hekima zote.

Teh teh teh teh!

Halafu kina kahtaan wakisema UKATOLIKI ni sarakasi tupu na ni kikundi cha wahuni Wanakuja na Matusi Mfuko wa rambo umejaa!

Kaazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
wacha uchizi hawa ndo wasemaji wa kanisa katoliki,usirudie tena upumbavu wako!

Hii mihemuko nilishaitolea tahadhari mkuu... Ni vema ukatujuza unachofahamu.
MR. CONFIDENT huyu anaejiita Lukubuzi wala asikupe tabu. Huo ndio UKATOLIKI. Busara zao za kujenga Hoja ndio hizo.
Na hapo Anajiona kabisa kuwa Anamtetea Yesu Kwa hekima zake zote.

Na Mchungaji wake akiona Hio mipasho yake basi Lzm ampe hongera kwa sana tu manake UVATICAN na MATUSI ni km Mimi na Biriani ya Mbuzi yaani Kila siku Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Katika kila imani or madhehebu maovu yapo.Ukienda kwa waislamu ndani ya baadhi ya madrasa kuna ubakaji na makanisani vilevile sio katoliki peke yake.
Hivyo kanisa ni sawa na nchi ambamo kuna waovu na watu wasafi.Pia kwa mazingira ya sasa dini imekuwa kama biashara people need market share from church(waumini) hivyo wengine wanachafua makanisa mengine ili wapate waumini
 
Katika kila imani or madhehebu maovu yapo.Ukienda kwa waislamu ndani ya baadhi ya madrasa kuna ubakaji na makanisani vilevile sio katoliki peke yake.
Hivyo kanisa ni sawa na nchi ambamo kuna waovu na watu wasafi.Pia kwa mazingira ya sasa dini imekuwa kama biashara people need market share from church(waumini) hivyo wengine wanachafua makanisa mengine ili wapate waumini

Ubakaji umepamba moto makanisani km vile peremende dukani.

Yaani kesi la Watoto kulawitiwa makanisani Mpka zimetuchosha kuzisikiliza ndani ya Ma Tv.

Balaa tupu.
huko Vatican ndio Usiseme tena. Unga, uliberali, ubakaji, kulawiti, usagaji na balaa zote zimejaa huko.

Kwa mwendo huu Ebola haimaliziki ng'oooo.
Wagalatia watatumaliza na Maradhi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom