habari zenu makapuku...hawa watuwamekuwa changamoto nilinunua line ya halotel nikatumiwa ujumbe huo hapo chini nikaiweka pembeni nikatafuta line ya mtandao mwingine na sasa kanitumia tena ujumbe ambao unasema hivi
+255623271817
Content:
Mjukuu Wangu Maweni haujambo ni mimi babu yako...
Mtu Mzito kuna siku nimeota napigana na viumbe vya ajabu huku mvua inanyesha ila niliyapiga sana na pia nikakutana na jamaa mmoja ninayemfahamu nikaharibu vitu alivyokuwa navyo na pia katka ndoto hiyo kuna sura za ndgu zangu fulani niliziona.kuna nyingine nilikuwa natoka naenda kwenye mihangaiko...
somo limeniingia mambo magumu sana nimektana nayo na huwezi amini hata chuo nilisitisha hata kurudi imekuwa ngumu.mambo tyt bro,ndg ni wabaya wachache sana wana nia nzuri
Mkuu Mtu Mzito
nina swali/shauku ya kujua ukweli kuhusu jambo hili, niliwahi kupata matatizo nikapelekwa kwa mtaalam mmoja ila tiba yake sikuielewa yaan alinikata kucha za mikono na miguu,nywele za kichwani,makwapani na mavuzi.Akachukua udongo wa nyayo na maeneo mbalimbali ya mwili kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.