Recent content by njeleson

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada; Namna ya kupata MATERIALS YA O-LEVEL kwenye MTANDAO

    Ingia ktk simu yako ambako kuna network/ data kisha andika www.en.bookfi.org Kisha utaletewa online library ambapo utakuwa unaandika titles mbalimbali za vitabu vilivyo ktk pdf then uta download!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzungumza na Wanawake wa Dar es Salaam tarehe 27/8/2015

    Jambo zuri sana hilo, hao ndio wapiga kura haswaaa!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzungumza na Wanawake wa Dar es Salaam tarehe 27/8/2015

    Acha mambo ya ukabila na ukanda....unataka kutambika??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    UKAWA the hot NEDDLE,& the burning SPEAR
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Funzo ; wanawake ni rafiki zetu wa muhimu ukiwa nao, ukitoka au akitoka aweza kuwa adui yako mkubwa sana. Haki yako utapata mkuu, pigania hadi tone la mwisho.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Machali Kafulila Mdee ....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sofia Simba hamkuwa mnaona ukiukwaji wa kanuni Bungeni?

    Waliahidiwa hao, hakuna cha pekee toka kwao hapo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Anguko la dola ya Urumi limetimia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Naliona anguko la CCM linabisha hodi...!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Poll:Dr.Willbraod Slaa vs Benard Membe

    Lubuva asaidie kuamua vzr kuona kuwa bao mkono halitoi ushindi upande wa pili
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu si ya Baba'ko: Ni nani yuko nyuma ya huu Mradi?

    Yana mwisho haya. Oktoba itafahamika tu !!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Upwaguzi: Eti huyu kajiandikisha mara mbili kwa BVR?

    Duuu! Ni hatari sana aiseeeee! Tusiishie hapa tu bali tupaze sauti kunako serikalini !
  13. N

    JamiiForums Tanzania Huyu Lowassa huyu ana lipi?

    Si afiki KABISA KWA LOWASA kuwa Rais wa nchi hii...!! Ingawa naunga mkono CCM wakimteua huyu jamaa, maana walio bora kuliko yeye watakuwa na mengi ya kuwakumbusha tu wananchi, hivyo kuwapa urahisi wa kushinda !!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Richmond: Watanzania tulimlipa Lowassa Mil 150 kila siku...

    EL kiujumla HATUFAI WATANZANIA...! HATA WENZETU WATATUSHANGAA ENDAPO TUTAMCHAGUA HUYO MTU...!!
Back
Top Bottom