EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,119
Jana nimekaa nikasikiliza hotuba ya Lowassa mwanzo mpaka mwisho. Sina uhakika lakini kwangu mimi sikuona ama kusikia kitu chochote kilichoustua moyo na kuona yes ana kitu huyu. Well maybe anaweza kuwa mtendaji kuliko msemaji but personally I am not impressed. Najiuliza tu, huyu mtu atarudishaje hizi pesa zote anazotumia huku.