Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,399
- 163,593
Kwa imani yangu hawa wawili ndio wanaweza kuwa wagombea uraisi wa nchi hii japo michakato bado inaendelea.
Najua disadvantage ya Membe inayotokana na kupingwa na wafuasi wa Lowassa kwenye NEC na Mkutano Mkuu lakini japo ni kura ndio zinaamua,bado naamini wenye sauti ni wenye chama na si wanachama.
Hivyo basi,sasa tufanye kama vile hao wawili ndio wemipita na kuwa wagombea kuwakilisha vyama vyao ambapo Dr.Slaa atasimama kwa ticket ya UKAWA na Bernard Membe kwa ticket ya CCM.
Je,ikitokea hivyo,kura yako utaampa nani kati ya hao 2 ili awe raisi wako wa awamu ya 5?
JF tuwe wa kwanza kuendesha kura ya maoni.