Recent content by njechelle

  1. N

    Kampuni za kutoa container bongo

    Habari JF Naomba mnitajie kampuni za utoaji makontena hapo Bongo
  2. N

    Kwa waishio Marekani

    Mamboz Namtafuta rafiki yangu anaitwa Yusuph Mjili yuko Chicago,USA Naomba mwenye contact zake anipe. Simtafuti kwa baya huyu ni mshkaji tumesoma wote Dodoma.
  3. N

    Tungekuwa Bongo tunabeba boksi mngetucheka, leo tunabeba boksi ughaibuni mnatunyima uraia...

    Habari wana JF Mm sio mtu wa kuifatilia sana siasa ila nawaomba mnifafanulie kuhusu uraia wa nchi mbili katika nchi yetu ya Tanzania imeishia vp? Tafadhalini matusi sio mpango
  4. N

    Gharama za kutoa container bandarini

    Nawasubiri kwa hamu
  5. N

    Gharama za kutoa container bandarini

    Habari wana JF Naomba anaejua gharama za kutoa container la 20ft hapo Bongo anipe process yote pamoja na charge zingine km zipo. Container ni la nguo za mitumba.
  6. N

    Discount kwa Kontena la Mabelo (20ft)

    Pata container la 20ft used clothing kwa $10,000 shipping included mpk Tanzania. Unapata mabelo 220. Serious buyers ni PM
  7. N

    Nipe order ya mitumba

    Habari wana JF Niko Marekani na nataka order za wafanyabiashara wa mitumba. Container la 20ft viatu vya kike na kiume mchanganyiko wa raba, mocasin na vya mitoko ya jioni ya wanawake Pairs zaidi ya elfu saba, marobota zaidi ya mia mbili na ushee bei $29,000 sijajumlisha shipping Walio...
  8. N

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Habari wana JF Nataka kuchukua degree ya finance lkn naambiwa niwe mkali kwenye hesabu Mimi binafsi sio mkali kihivyo kwenye hesabu. Naombeni ushauri ni hesabu zipi zilizopo kwenye finance degree? Kweli lazima uwe mkali sana ?
  9. N

    Natafuta mke

    Niko mbele kwa Obama, Arusha ndio wapi kwani?
  10. N

    Bei za Mabelo ya mitumba zikoje Bongo? Nataka kusafirisha kutokea huku USA

    Habari wana JF, Mimi niko USA nafikiria kupeleka mabelo ya mitumba bongo kama ya viatu, jeans au mchanganyiko, na nataka kuuza kwa belo au jumla. Swali langu ni hili; Je, belo moja bei gani? Na hii biashara inalipa?
  11. N

    Biashara ya copper

    Habari Natafuta kampuni inayouza copper bright ambayo imeshafanya biashara na kampuni toka nchi za USA, Europe au Korea. Nna order kubwa kutoka USA
  12. N

    uraia wa USA

    Habari wadau Kuna umuhimu na faida gani kwa mbongo kuwa raia wa marekani?
  13. N

    Ubunge kwa mwenye uraia wa nchi ya kigeni

    Hili swali kwa watu wa USA Nasikia Mange Kimange ni raia wa USA kwa sasa, Swali: Kama kweli raia vipi anataka ubunge wa Kinondoni? Au Tanzania tuna dual citizenship sasa hivi? Wana JF naombeni majibu
  14. N

    Natafuta mke

    Natafuta mke mtanzania tuishi wote hapa USA. Umri wangu miaka 40 na yeye awe na miaka kuanzia 26 mpaka 35 Awe Muarabu au half cast, awe Muislam Serious please tuwasiliane PM
Back
Top Bottom