Recent content by Njaramatata

  1. N

    Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    YAKO kwa sababu ulikatwa mshahara wako. Ila si YAKO kwa kuwa huna mamlaka nayo.
  2. N

    Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Watani zangu wanyakyusa wanasema, Imbombo ngafu.
  3. N

    Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Barabara ya lami ilijengwa miaka ya 70katikati si mkoloni.lakini fananisha kiwango na hizi za Sasa.
  4. N

    Napenda kuvilalamikia vyombo vya habari hasa redio na TV. Asilimia kubwa ya vipindi havizingatii kipi kinafaa kwenye jamii

    Habari wanna jukwaa. Kuna kitu naomba nikizungumzie, inawezekana kilishaandikwa humu. Napenda kuvilalamikia Sana vyombo vya habari hasa redio na TV, sio zote. Asilimia kubwa ya vipindi ni promotion ya michezo na umbea, yaani vipindi havizingatii muda wa kazi Wala kipi kinafaa kwenye jamii na...
  5. N

    Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

    Tetemeko litokee tz data tayari anazo beberu. Hali ya hewa bongo hamna. Tukubaliane mkono was beberu Ni mrefu kuliko akili zetu.
  6. N

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Wewe bado una akili za chekechea miaka 36 unalalamika ungekuwa huna baba na mama ungeishije? Unapaswa utambue kuwa wewe kwa Sasa maada baba yu hai huna haki ya kurithi chochote. Unaitwa mrithi na kuwa na haki ya madai yoyote ikiwa mzazi wako amekufa period.
  7. N

    Kwanini kuna Mapacha wanafanana lakini vidole havifanani?

    Hali zenu wana jukwaa, Kwa Muda mrefu nimekuwa najiuliza na kuuliza watu mbali mbali na hata kufanya tafiti fulani,lakini bado sijaelewa. Kuna mapacha wanaofanana kila kitu kiasi hata wazazi wanashindwa kuwatofautisha mpaka DNA Ni moja lakini alama zao za vidole haijatokea zifanane. Je, Kuna...
  8. N

    Waandishi wengi wa habari Tanzania hawajui Kingereza hata cha kuokoteza? Why?

    Mi nadhani mfumo wetu was elimu ndio unatutengeneza hivyo,kingereza chetu Ni Cha kusoma sio Cha kuongea.Mkazo mkubwa kwa wanafunzi ni kufaulu mtihani. Hata hizi za English medium ukienda shule ukasikia kingereza Cha walimu was kitanzania unabaki unajiuliza maswali mengi. Lazima tukiri tuna tatizo.
  9. N

    Nahisi nina mtoto analelewa na baba mwingine

    Acha ujuha, angekubaliana na ushauri was kutoa,ungeyasema Hayo. Majuto ni mjukuu pambana na Hali yako.Ulipanda ukataka kung'oa mwenzio kakubali kupalilia akivuna mwache ale na aliyepandishwa naye shida.
  10. N

    Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Kazi KWELI KWELI,ninavoelewa Mimi Mungu Ni wa wote na janga Ni la dunia nzima,huwezi omba Mungu kwa ajili ya taifa moja so KWELI,hayo Ni maombi yenye ubinafsi na Mungu Hana upendeleo. Ingekuwa tumepigwa sie peke yetu sawa. Hapo mtaomba mpaka mpasuke Koo,tusidanganyane.
  11. N

    Wizara ya Afya hamtutendei haki, kipimo cha COVID19 ni ghali sana

    Hi Nicole hatari, kukosa uwazi Kwenye huduma yoyote hutengeneza rushwa.
  12. N

    Jinsi nilivyofilisika

    Maisha Yana Siri nyingi,kikubwa usikate tamaa pambana,maana uko mlango mwingine Ni kazi yako kuutafuta. Hongera Sana umelipia school fees.Umeshahitimu course muhimu Sana.
Back
Top Bottom