Recent content by njalas

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama mkewe ni muhimu kuzidi umma basi aachie ngazi akaongoze familia yake

    Ogopa watu waliokulia maisha ya kimasikini wakipata madaraka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii vita mpya mitandao inatuchanganyia na AI

    Inakera sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Noma sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Pale msamvu ndinga zinapita muda wote silali kwenye kunguni
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Vile vi braza vinauma huwezi kulala mama
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

    Mkuu unataka mpaka akiuambie kuwa ana mwanaume mwingine ila huyo mwanaume bado hana uhakika naye ndo maana anashindwa kukupiga chini moja kwa moja
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia azindua Makao Makuu ya ULINZI wa Taifa

    We maku unaongea umakumaku tu
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Ya Yaani ndoa haieleweki nishindwe kupiga chini kisa eti mkristo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Umri wa kustaafu uwe miaka 45/Utumishi kikomo iwe miaka 15

    Hivi wasira sasa hv ana cheo gani
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba wa mapenzi au mimi ndiye siujui upendo?

    Si upo kimkakati vumilia tu ukizingua anakata misaada
  11. N

    JamiiForums Tanzania Niko fresh Lyrics by Real jongwe "Sugu"

    Noma sana
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili mwanamke akupende inabidi utumie mbinu hii

    Wanawake wanapenda mwanaume mwenye wanawake wengi we jifanye unaye mmoja tu atakusumbua mpaka basi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

    Akili ikifika mwisho yaani hujiwezi kabisa huwa unakimbilia kwenye kubishana mambo ya dini mlizoletewa piga kazi Acha huo utoto
  14. N

    JamiiForums Tanzania Stendi kuu ya Magufuli sio rafiki, ni laana kwa wasafiri na wasafirishaji jijini

    Kwani lazima kwenda stendi ya magufuli mbona magari mengi tu yana stand zao waambieni wenye mabasi wajiongeze kuwa na stand zao kama mbagala,chanika n.k jiji kubwa kama la dar haliwezi kutegemea stand moja tu kwa mabasi yote ya mikoani
Back
Top Bottom