Jamani naombà msaada wa tiba ya huu ugonjwa kwani maumivi take niakali hata antipain zimenigomea. Huwa inamisumbua kwemye femar pamoja na paja na goti . kila Sawa nikitumia maumivu uayakati na uvimbe pia.
Hospitali walisema Nina tatizo la Clinic asteoarthritis
Tax laws zinakuwa amended time to time according to the need. Na tukubari kuwa pensions huwa ni tax free gain kwa Sheria za kodi za sasa. Nafikiri tra apa wameangalia tu ni namna gani ya kuongeza Pato la taifa ambalo ndo hitaji mama la kodi!! Lakini wamesahau kuwa mishahara haitoshi,mtu...
Piga moyo konde!!
Sio lazima ukutane nayo! Lkn kwa kiasi kikubwa haya hutokea . Na sio wakati wa kuomba kazi tu! Hapa tunazungumzia shida mbalimbali ambazo pengine hata ww umekutana nazo,alafu mtu unaetegemea akupe msaada anataka atumie mwanya huo kupata kwichikwichi!!!
Wanaona aibu lkn tunaona yanayofanyika
1 field attachment
2 kutafuta ajira
3 vyuoni ( hapa nina ushahidi,kuna dada ali sup, lkn marks zilirekebishwa juu kwa juu bila ata ya Ku attend supplementary exam[emoji23] [emoji23]
4 kupanda vyeo maofisini(hasa private sector)
5 Au hata mkwamo wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.