Recent content by nipotu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Afisa Upelelezi wa kituo cha Polisi, je nikajieleze kwa Mkuu wa Kituo?

    Mkuu pamoja na yule wenzio, napenda mfahamu kwa ndoto yenu hio CCP is a must, lazima utie mguu. Hivi utafanyaje upelelezi wako bila kufahamu ethics zake? Naomba nikuulize hivi inatokea upo kazi maalumu na kwa bahati mbaya unakutana na wapelelezi wenzio na hamfahamiani unategemea nguo yako ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Huku Namanyere ni TBC pekee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Kwenda na wakati At which age? Makonda atakuwa kachagua kutumia Clouds at his age, na reach ya clouds katika mkoa wake, na inawezekana clouds ndio wamemuita. Tofauti na hapo mimi mwenyewe au wazee wangu hatuwezi sikiliza au kutizama programme za namna yoyote kutoka vituo vilivyojaa soga na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali achaneni na Tabibu Mwaka kwani anazidi tu kuwaumbueni!

    Hao wengine inawezekana wamefuata miongozo ya mamlaka husika
  5. N

    JamiiForums Tanzania Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Hebu tusaidie kabla ya huyu ASP kuhama maisha ya familia yalikuwaje? 2. Je huyo mume kwa nini alihamishiwa Dodoma? Kwa maana isijekuwa aliomba kuhama kwa sababu za kifamilia.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Ila mama tuntufye ulitakiwa ku PM ile namba, badala ya kuiweka hadharani kivile, utamsababishia usumbufu mkubwa sana, kumletea tahayari wakati wote.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Wewe ni wifi yake? Mambo ya chumbani yapi tusaidie tuyafahamu? Unataka kusema hata watoto sio wake?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Theresa May ni Nani?

    Soma post #10 mkuu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Theresa May ni Nani?

    Upo sahihi kabisa, leo wiki ya 2 wifi yako yupo safari, namhurumia akirudi atakuta nguo zote zinamsubiri, hata shuka za kulalia naona uvivu kuziondoa kitandani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wa SU punguzeni kiburi

    Mkuu hivi ulitaka SU asogee mbele, arudi nyuma ama a pack upande wako ili wewe upite kushoto? Or hilo eneo si packing area.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Madereva wa SU punguzeni kiburi

    Mkuu hio nafasi mbona kubwa sana, ingependeza ungetupia picha ingine umepiga kupitia wind screen ili tuone na upande wako.
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia wenzetu walivyo mbali

    Uzuri hilo jambo/ utaratibu wa kuomba hio kazi ya jaji mkuu ni upi? Ila napenda kufahamu hao waombaji 800 nani aliwachuja hadi wakabaki hao 6?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 72 kwa bodi ya mikopo kuwapa fedha zao, la sivyo...

    I think una presha, ngoja nikuache utalazwa bure
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 72 kwa bodi ya mikopo kuwapa fedha zao, la sivyo...

    Na wewe umekuwa hivyo hivyo, na wewe unatakiwa kusoma na kuelewa, je umesoma hoja yake ambayo mimi nimeijibu? Ama umetaka tu kuonyesha ukeleketwa wako na kuonyesha ni kwa jinsi gani maumivu ya kushindwa uchaguzi yanavyokuumiza?!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Serikali achaneni na Tabibu Mwaka kwani anazidi tu kuwaumbueni!

    Atakuwa ni mdau wa ndondo cup
Back
Top Bottom