Sasa unalia nini si ukalime au unataka tuje kukupiga viboko ndo uende.. Maisha yako ni ya kwako kijana ukianza kupiga domo tu bila sababu za msingi utaishia kula kwa macho.
Naona bado unaendelea upumbavu club... Lowasa angefanya nini nchi hii we mbulula... Au unajua kuandika na kusoma tu ila ujui kutazama vitu kwa kina.. Tanzania tunaeneo kubwa sana vijana waende kulima
Umeongelea gharama za tramways za ethiopia huo umeme wa kuziendesha unao? hivi unajua kiasi gani cha umeme kinatumika kuendesha hizo tramways? umeenda na kuandika hadi kiasi cha Km zinawozewa kujengwa kwa fedha chini ya dollar 500 hiyo tramway ikijengwa dar unadhani mji dar imepangika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.