Recent content by Nipishe nipite

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chagonja na sinema ya mwaka!

    Panya road,uvamizi wa vituo vya police,kikombe cha babu loliondo,homa ya dengue, hizi filamu zote zime hit kwa muda mfupi sana kupotea sokoni
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Wameshiba wateja sasa wanaleta jeuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Yap ni kweli mkuu labda tusubirie kesho tuone itaishaje na interview ni tarehe 17/02/2015
  4. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Poa poa mkuu tusubiri kesho au hata mida jioni wanaweza piga
  5. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Food inspector
  6. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Kwa taarifa nilizozipata muda huu ni kwamba wameanza kupiga simu kuna jamaa kapigiwa muda si mrefu
  7. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Dah watakuwa wamechelewa sana asee au mipango yao ilivo
  8. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Pamoja sana mkuu tuendeleee kupeana info
  9. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Nadhani kajichanganya vp mkuu Nzovwe unazo taarifa zozote
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza International Airport Kumaliza Utata na Kenya

    Mmeacha mada mmekimbilia ushindani wa mwanza na arusha
  11. N

    JamiiForums Tanzania TFDA wameita watu kwa ajili ya usaili wa pili?

    Mkuu kuna tetesi kuwa watu washaitwa kazini but ngoja nipate uhakika nitarudi kuthibitisha kama jambo hilo lina ukweli wowote
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Kikwete na kukosa umakini wa matamshi yao

    Mkuu mimi nilikuwa naangalia hicho kipindi ikafika kutaja takwimu,hapo ndo kanishangaza waziri mzima ila nikajua muda huo watoto wa shule watakuwa wameshalala mana wangekopi makosa yake,hakika ccm ni kituko asee
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yakufanya katika biashara yako

    Daah pamoja sana mkuu ngoja nichukue ushauri wako niufanyie kazi hakuna kuona aibu.tutatoka tu mwisho wa siku
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu yakufanya katika biashara yako

    Mkuu ninataka kuanza biashara ni gradaute engineer na maisha magumu sana mtaani nina laki moja mkononi ebu nishauri mkuu nifanyeje na hyo laki moja ili maisha yasonge,maana nashindwa kuamua
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji MMU

    Jamani wakuu nisaidieni jinsi ya kuanzisha thread
Back
Top Bottom