Recent content by Nipe tano

  1. N

    JamiiForums Tanzania UHAI HUU CCM INATOA wapi???!!!!!

    Tatizo humu wawazia ma...buri nao ruksa ndo maana tunapata wajinga kama huyu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Mwigulu na Nape katika jamii.

    Akili zingine za ajabu kweli ! Kama za padri mwizi. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa mnao watukana hawa makamanda ni nyie CHADEMA,mnaojua fika kuwa wanawakimbiza? Umeona mikutano yao mikoani?Acha uzezeta,tumia ubongo kuwaza na si ....buri!!!! QUOTE=Umslpogaaz;4251091]Maoni karibu yote...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Mwigulu na Nape katika jamii.

    CHADEMA WANA WAOGOPA HAWA JAMAA KULIKO SIMBA< NDO MAANA KILA KUKICHA HUMU NI NAPE/NCHEMBA.......hahahahahhaaaa go double NNN
  4. N

    JamiiForums Tanzania UHAI HUU CCM INATOA wapi???!!!!!

    Haya hawa nao ilikuwa Tabora??????
  5. N

    JamiiForums Tanzania UHAI HUU CCM INATOA wapi???!!!!!

    Thibitisha ni Tabora na si Mpanda tena jana huu mkutano. CCM ilifunika vibaya!!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania UHAI HUU CCM INATOA wapi???!!!!!

    Bob G, mwambie padri asiangalie hapa maana atapata presure bure!!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

    Mbona habari nilizonazo yeye huyu ndo babaako mzazi? Au mamaako hajakwambia?
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

    Usituchanganyie madawa hapa! NANI KAKUZUIA KUANZISHA YAKO ILI KAMA INA MASHIKO WAJE KUJADILI HUO WIZI?
  9. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweweseka na mkutano wa CCM JANGWANI, na sasa Rukwa na Katavi

    Tuelezeni kwanza NANI ALITAKA KUMUUA DR. SLAA NA KWANINI SLAA HATAKI KUTOA USHAHIDI KAMA TUHUMA HIZI NI ZA KWELI.? SLAA HAJAWA RAIS ANAIBA WAKE ZA WATU HIVI AKIWA JE SI ATATIA BARABARANI? NA KISUKARI KILE LAZIMA ANAKUNYWA VIAGRA HAKA KAZEE
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    Do! Wamebugia ndowano! Soon wataanza kulia oooh nuhu awafungilie safina!!! Naye atawajibu funguo hana!!! Chadema byebye, hakika kifo chenu HAKIEPUKIKI
  11. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Anguko la CCM Arumeru Mashariki na Mgombea wake Sioi Sumari aka Mkwe wa EL ni teke la mwisho la fisadi Edward N. Lowassa. Kwasasa sioni muujiza wowote wa kumnusuri EL hasa baa ya kulazimisha kupanda jukwaani kumuombea mkwewe kura! Pesa alizotumia kushinikiza na kununua ushindi, HAKIKA...
  12. N

    JamiiForums Tanzania MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Msiwe na haraka kuna vituo zaidi ya mia tatu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Masikini Edward Lowassa

    Haitatokea aibu kubwa kuliko hii baada ya maandalizi yote na gharama kubwa zilizotumika!! Naapa hii itafunga mwaka huu!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Masikini Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
Back
Top Bottom