UHAI HUU CCM INATOA wapi???!!!!!

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Nisaidieni pamoja na kuitwa majina yote ya ajabu na wasioipenda CCM, lakini bado inaonyesha uhai wa ajabu sana, angalia picha hizi za Mpanda na Sumbawanga. SWALI LANGU, UHAI HUU CCM INATOA WAPI?
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    38.2 KB · Views: 103
  • 2.jpg
    2.jpg
    20.1 KB · Views: 131
  • 3.jpg
    3.jpg
    33.1 KB · Views: 98
  • sub.jpg
    sub.jpg
    207.7 KB · Views: 97
picha ya kwanza imeingia kimakosa wadau........anaye kereka anywe maji asije na mitusi hapa maana tutapigwa ban mimi na yeye!!!
 
Marehemu hata kama alikua hashiriki misiba ya wengine akifa anapata waombolezaji ndo ccm hio na waombolezaji wake ambao wamefata mpunga na mahala pa kulala siku hiyo
 
​michuzi kaziunganisha zingine hiyo ya chini nimkutano wa kampeni 2010 tabora
 
Marehemu hata kama alikua hashiriki misiba ya wengine akifa anapata waombolezaji ndo ccm hio na waombolezaji wake ambao wamefata mpunga na mahala pa kulala siku hiyo

Bob G,
mwambie padri asiangalie hapa maana atapata presure bure!!!!
 
Kwi kwi kwi si mmekaa madarakani miaka 38 sasa mbona mnajipongeza kwa kuwanunulia watu pombe na kanga
 
mimi mwenyewe nimefurahi sana maana lori langu limepata tenda ya kusomba watu wilaya yote lakini hao wote walipewa tshirts week moja kabla ya mkutano
 
mimi mwenyewe nimefurahi sana maana lori langu limepata tenda ya kusomba watu wilaya yote lakini hao wote walipewa tshirts week moja kabla ya mkutano

Tatizo humu wawazia ma...buri nao ruksa ndo maana tunapata wajinga kama huyu
 
ccm imekufa zamani sana, limebaki genge la wezi wachache wenye tamaa na mali ya umma
 
Hata kama ningekuwa mimi nipo vijijini nina dhiki jana sijala chakula,nimesikia kuna usafiri wa bure kwenda kusalimia kijiji cha jirani na ubwabwa juu wallah ningetia timu tu.marehemu anazikwa tu.
 
Acha utani wewe kwa hiyo unawaita waliopo kwenye mkutano wapumbavu huoni huo ujumbe utamhusu hata anayeufurahia huo upumbavu.chunga ulimi wako kaka.hata kama chama kinakufa msitutusi hivyo.
 
HAKUNA UHAI WOWOTE WA CCM, HII PICHA YA CHINI KUSHOTO NI YA JANGWANI (cdm Square) SIKU ILE, AU MMESAHAU KAZI ZA MAFUSo????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom