Recent content by Nipe Maji

  1. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Messi na Ronaldo wamekutana na kucheza pamoja kama video hii

    Ndiyo, video inaonekana kuwa halisi lakini ukweli ni hakuna tukio kama hilo la hawa jamaa, halijaripotiwa na vyanzo vya kuaminika.
  2. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha inayodaiwa kuwa ni ya tukio la moto huko Nebraska Imetengenezwa kwa Akili Unde

    Rangi ya moshi lakini pia moto unawezaje kukatiza kwenye lami na kuhamia eneo la pili?
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Magari yakibebwa na mafuriko huko Nairobi

    Kwa picha zilizopo mtandaoni muonekano wa mazingira karibu na jengo la Odeon haufanani na kwenye video ya mafuriko.
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii hii imepigwa nchini Burundi

    Baada ya kureverse inaonekana ni barabara inayoelekea jijini Bujumbura Burundi
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya, je ni picha ya kweli?

    Hii inaweza kuwa imehaririwa kwa AI, kwa uzoefu wangu wa maisha ya shule za bweni hakuna anayepewa ugali wa size hiyo labda awe special case
  6. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya uyoga unaosadikika kuwa na sumu

    Hii ni aina ya uyoga ambao tulikatazwa sana kuula kwa kuhofia kuwa na sumu
  7. Nipe Maji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    29 Disemba, 2025 Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali vyote vya kufanya kazi za Sanaa na kutoa vibali kwa makampuni, wadau wanaotumia kazi za Sanaa. Kanuni ya 20 ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018, zikisomwa kwa...
  8. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi 500 za ajira nje ya nchi kwa waendesha pikipiki

    Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali leo Jumatatu...
  9. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Inyala - Simambwe iliyojengwa kwa kiwango cha lami, mwaka wa pili tangu ikamilike tayari ina mashimo

    Barabara ya Inyala - Simambwe yenye Kilomita 16.7 Mkoani Mbeya iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 7.05 ikiwa mwaka wa pili sasa tangu kukamilika kwa ujenzi wake tayari imeanza kuwa na mashimo. Kwenu TARURA. Je, ilistahili kujengwa kwa kiwango hiki cha kuwa na mashimo ndani ya...
  10. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuruhusu huduma ya maji leo kwa wakazi wa Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

    TAARIFA MUHIMU KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI 21.12.2025 Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;- Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona...
  11. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni taarifa ya CHADEMA kulaani maandamano ya Desemba 09

  12. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Golugwa amesema wananchi wamepiga kelele wanataka waruhusiwe kulima bangi?

Back
Top Bottom