Hata mo29 walichukulia poa hivi hivi usione watu wapo kimya tukazani ni wajinga
Watu wanavisasi na hii serikali Sana angalia misiba ya top official ikitokea umati unavyo lipuka kwa shangwe
Watu wanasubili tu trigger ya kuwaingiza tena front
Ubongo una adapt vitu vibaya chapu na kukataa vitu vizuri kwa kifupi ubongo hautaki vitu vipya
Napenda kusoma ila vita nayo pigana na ubongo wangu mwenyewe ni zaidi ya vita ya Israel na Iran
Mademu wa kisukuma ni wabayaaa yamejichubua ni washambaaa wamejaa baa zote kanda ya ziwa tabora kigoma mpanda baa zote ni wao tu wamekurupukia umalaya wa ukubwan
Hahaha wewe unaweza kukataa ukiitwa na waziri wa mambo ya ndani (internal affairs) ukakataa na ukabaki Salama
Hahaha nyinyi mnamuona mamba24 na you better watch your back kwa juu tu mnashindwa kujiuliza why now?.
Hii national anthem Inazima nn nyuma ya pazia.?
Kwenye intelligence nothing...
Rahby na smaa ni wachambuzi wazuri kwenye Geopolitics lakn shida Yao kubwa ni chuki kuu ambayo wako nayo kwa Israel hii hufanya Ata pale kwenye ukweli inabidi upindishe kidogo
Pamoja na hayo ma pungufu Yao najifunza mambo mengi kupitia wao kila siku lazima niingize YouTube kusikia mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.