Recent content by nina ndoto

  1. nina ndoto

    House4Rent CHUMBA KINAPANGISHWA

    Kuweni na akili bhasi nyie magreat thinker mnaojifanya kila kitu mnajua .. Eleweni masharti ya mwenye huyu mpangaji aliyekuwepo alielewa na akakubali mpaka Leo yupo na hajawi kuombwa mzigo na mwenye nyumba Hayo ni masharti ya mtu kama hutaki unaacha
  2. nina ndoto

    House4Rent CHUMBA KINAPANGISHWA

    Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha
  3. nina ndoto

    House4Rent CHUMBA KINAPANGISHWA

    Chumba kiko mbezi mwisho kodi elfu sitini kwa mwezi kulipa kuanzia miezi sita.. Chumba kina choo ndani tiles chini pamoja na gypsum bila kusahau maji na geti kubwa. Masharti ya chumba mpangaji awe ni binti asiye na Mme wala mtoto kwa upande wa njemba mtanisamehe sana.. Room za wapangaji...
  4. nina ndoto

    Wanaume wenye mwanya

    Wakati mwingine kabla ya kupost fikiri vizuri itakusaidia katika post...rubbish kabisa
  5. nina ndoto

    CHADEMA wekeni bayana msimamo wenu

    Mleta Uzi atakuwa ana utindio wa ubongo haoni yanayoendelea ...rubbish kabisa
  6. nina ndoto

    Msaada simu yangu inaandika...

    Cellular data limit exceeded.. 2.01GB over specified limit Naomba kufahamu tatizo
  7. nina ndoto

    JamiiForums Usiku wa manane

    Haya nyamaza acha kulia
  8. nina ndoto

    Bao hili la ndotoni, nini tafsiri yake?

    [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  9. nina ndoto

    Bao hili la ndotoni, nini tafsiri yake?

    Kwa hiyo ni kawaida ya balehe
Back
Top Bottom