Wadau naomba kuuliza. Hivi kama sina kosa lolote na nimechoka kuishi uraiani....ninaweza kwenda kuomba ofisini za magereza hifadhi ya kuishi na wafungwa kama mfungwa?
Nb;..nakua mfungwa jela but sio kwa kosa lolote. Na sitaki kwenda huko kwa kufanya kosa uraiani. I mean..nataka nikaishi na...
Nasikia wanatembea nazo kwasababu wanakua wamepewa masharti na waganga wa jadi. Mi mpenzi wangu Heaven on earth nilimkataza tabia hiyo. Issue za kufanyana mazombie. Hihihihihi...
Daaa...yani wewe Story yako kama mimi tu....tena mimi nilichomekewa kwa nyuma wakati nilipomwambia ajichomekee mwenyewe. Badae nikagundua iliichomeka kwenye kabang. Basi lile tangazo hua linanikumbusha mbali sana...i mean lile la airtel
"ukizubaa tu-ushakatwa...si unaonaaa"
Kiukweli kabisa...icho kitu kipo. Na mara nyingi madem wa namna hiyo hua wana husband spirit. Wanamilikiwa na majini. Jaribu kumuuliza..hua anaota anafanya mapenzi usiku kwenye ndoto?..kama ataswma kweli...basi lazima utakua unashindana na spirit nyingine na usipokaa sawa siku moja utadhurika...
Dwm wangu wa kwanza kufanya nae alikua na maji mengi sana. Nakumbuka ilikua pale nzega ndo nimemaliza six. Hata sikuinjoi kusema cha ukweli. But toka siku hiyo sijawahi kumeet na dem ambae alikua akisisitiza kuvaa kondom kama yule. Hua namkumbuka sana kwa hilo. Alikua mbishi kinyama...vaa bwana...
Ukikutana na shoga au ukimuona....nasikia ni laana. Lazima..kama sio wewe basi mtoto wako au kaka yako ipo siku atapigiwa kwenye 0713.
Anza kukemea bro!
We dogo utamweza Heaven wewe?..ushaclear sapu zako kwanza?..Acha kudandia vitu vya wakubwa. Afu mbona anakuponda sana kwamba wewe ni kama Marioo kwake...na kwamba upo kama mganda-sweta hujakata. Tulia dogo...acha shobo
Chamtu mavi!!!...hihihihi....ila sasa....ungepata bahati ya kumtongoza na kumpeleka hoteli...ile anaanza kuvua nguo..dizain kama sarenda bliji au kipanya kimekufa. Au maji ya maharage. ....Clouds fm wanakimlio kina sema " Noma sanaa"
Dont play it at home. John Cena 4: 3-4b
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.