Alaf kuna vitu hujavisema kabisa na vimejificha kwenye uzi wako, ni wazi huwa umwambii kama unataka kufanya nae mapenzi na mkifika chumbani unaanza kulazimisha kwa kumshika shika ndio maana hana njia nyingine ni hiyo kujilinda na wewe.
Tumia njia ya maongezi nina doubt njia unayo hitumia unless unataka kusema huyo msichana ni kichaa.
Kiukweli kabisa...icho kitu kipo. Na mara nyingi madem wa namna hiyo hua wana husband spirit. Wanamilikiwa na majini. Jaribu kumuuliza..hua anaota anafanya mapenzi usiku kwenye ndoto?..kama ataswma kweli...basi lazima utakua unashindana na spirit nyingine na usipokaa sawa siku moja utadhurika hata anaweza kukupa kilema. Kuna rafiki yangu alikua na dem wa namna hiyo...akawa anaenda kwa ustaadhi...anaandikiwa maneno ya kiarabu kwwnye karatasi kisha anakiweka kwenye maji...anakunywa yale maji na dem wake anamnywesha..ndo hiyo hali inaondoka...anamtia kiulaini.
Ushauri; Mpeleke swhemu yenye maombi akaombewe...sio hali ya kawaida hiyo. Na nakushauri kama huwezi ni bora ukamwacha.....ipo siku atakunyofoa govinda lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.