Hidden roof huvuja sababu kwa sababu kuu tatu;
1. Wakati wa kutengeneza gutter haikuzibwa vizuri na kupigwa plasta kwenye kona za ukuta hivyo kusababisha maji kutuama na kuingia kwenye ukuta.
2. Mabomba ya kutolea maji ni finyu au yameziba au gutter hazina slope ya kutosha
3. Fundi bati...
Washing mashine unaweza weka hata jikoni ukai fix vizuri tu ikakaa. Cha msingi kama chumba cha dada au kaka wa kazi kikubwa weka meza ya kunyooshea nguo
Jenga kawaida tu maana shughuli ya kuweka gutter si mchezo. Zitaenda nondo na cement hapo mpaka utie akili. Hapo bado shughuli ya kupaua upate fundi mzuri.
TRA ana haki ya kushikilia account yako na kuchukua pesa iwapo utashindwa kulipa kodi nahii ni baada ya majadiliano ya muda mrefu. Sababu lazima akuletee barua then ujitetee kisha atakupa assesment kama hajaridhika na utetezi au ushahidi wako. Na katika assesment lazima utoe 1/3 ya kodi ndio...
Kaka umenena. Huwa tunasingizia barabara mbovu lakini barabara inahusiana vipi na kuharibika hasa vitu vinavyohusiana na umeme.
Au engine? Shida ni service za magumashi na vifaa vya kuunga unga. Nimenunua gari used bongo ila sitakuja kurudia tena huo upuuzi.
Inategemea Allah unamuita katika kitu gani. Na pia jifunze kuwa Uislamu hauamini katika miujiza kama nyie. Tunaamini atakalotaka Mola ndio litakalotokea sio kulazimisha wewe unavyotaka. Keep Allah out of you nonsense.
Kiba ni msanii mzuri sana ila kinachomsumbua ni ego. Anajisikia sana na kujiona amefika. Ameridhika na hapo alipo. Inanikumbusha kuna interview alifanya 50 cent akaulizwa nani mkali katika kundi lao la G-Unit, akasema Lloyd Banks. Akasema jamaa ni mkali kuliko hata yeye ila shida ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.