Pole sana Mkuu, Binadamu hakuna Mkamilifu, kikubwa elewa wapi ulipojikwaa ili kesho usije jikwaa tena, hakuna kitu nakichukia kama kumuumiza moyo mtu anayekupenda hasa kwa kum cheat, ila ndo yashatokea, Muombe Radhi, hoping atakuelewa na usirudie tena mkuu. Kila la kheri.