Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Hii aibu dah mambo haya sio ya kuyaanika hadharani...mngenongonezana huko mkashauriana na kama ingeshindikana mngemuacha kaka wa watu...I feel sorry for him maskini nishai....

i thought i help?
 
i thought i help?
Halafu mbona naona solution ulikuwa nayo kabla hata hujaandika...Umesema mtu hamjali,Hana pesa (Kitu ambacho umekipa kipaumbele),Mambo ya 6*6 ni zero sasa anasubiria nini miaka yote mitano hio....Is she waiting for a miracle from GOD to happen???Aachane na mambo ya familia huyo mwanaume ataishi nae yeye na si yoyote so SHE IS RESPONSIBLE FOR HER HAPPINESS AND SHE SHOULD LIVE HER LIFE UNDER HER CONDITIONS PERIOD!!!!!Au hajielewi anataka nini ndo maana anatapatapa?
 
wizi tu hakiuna kitu hapo, story yenyewe ya kutunga tu! Au ni wewe halafu unamsingizia rafiki yako, kama hutosheki, weka mkono huko utakuwa sawa..acha kusumbua umma
 
miss chagga, tell that friend of yours, awe anakuja kwangu kuomba chumvi kila siku!

then, we use opportunity cost, ataridhika tu!

mjini ni nusu udsm dada!
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaha!
Samahani kicheko kimeniponyoka.
Ila nyie watoto mmezidi utaalamu hadi mnajiponza. Mmezoea maharage yenye magadi basi mkikuta hotelini wametia nazi mnaona sio matamu! Enzi zetu aliekupenda ndo huyo huyo basi ndo hujui mbichi wala mbovu, unakula na kijulamba vidole. Khaa!
Hapo umeongea. Maana zamani hata hamfanyi mpaka siku ya harusi. Utakachopata ndio hicho, wala hujui kama ndio inabidi ki-feel hivyo au la!...maisha yale bwana!
 
Back
Top Bottom