Nahitaji Mwanamke, ambaye ana mtoto japo mmoja itakuwa vizuri zaidi.

Nimejifunza

Member
Dec 10, 2013
10
0
Habari za Leo wana MMU, Mimi ni Mwanaume wa Kitz, nna miaka 27, elimu yangu ni ya chuo, sijapata bahati ya kukaa na kazi ya kuajiriwa muda mrefu, so nnakuwa najishughulisha na shughuli mchanganyiko maana nna ujuzi tofauti tofauti including Udereva wa Magari Makubwa.

Mimi ni Mrefu (6.3Ft) Mwembamba kiasi maana nna asili ya unene ila najitahidi kujizuia nisinenepe kwa kadri ya uwezo wangu, Mpole, Mcheshi, Quality Focus na Mchakarikaji, though sijatoka ki maisha kivile ila nna spirit ya kuhangaika na nna mipango mingi ya kijasiriamali ambayo Mungu akijaalia Ntaivalia njuga pindi masuala ya kipato na Capital yakikaa sawa.

Nna hitaji Mwanamke wa Kufahamiana nae ili tuje kuwa mke na mume mambo yakiwa vizuri, awe na umri kuanzia 28 kurudi chini, elimu kuanzia kidato cha nne, awe ameajiriwa au amejiajiri au ana mipango ya maendeleo ambayo itasaidia maisha yetu ya pamoja katika siku za usoni.

Awe na Mtoto angalau Mmoja, maana mimi nna mtoto mmoja, ni stori ndefu lakini ntamsimulia yote yule ambaye anastahili ataehitaji kujua, mimi ni muwazi na nimejifunza mengi katika maisha haya, I dont want to make the same mistakes i did.

Kingine labda urefu kidogo maana mimi najiona ni mrefu sana tu, mzuri mzuri kidogo maana hata mimi sitishi jamani, na jambo muhimu zaidi awe anajitambua, focused katika mambo ya maendeleo, mchangamfu na awe huru pindi anapokuwa nami maana mimi si mkali na wala siwezi kuwa mkali so awe huru afunguke yake nami ntafunguka yangu mwisho wa siku nna imani tutafika pazuri.

Kwa Uchache naomba niishie hapa, Mungu Nisadie maana unanijua kiundani na unajua dhumuni langu juu ya suala hili, niongoze na unipe wepesi mimi na yule atakayepatikana awe wa kufaa, Ameen.


Naomba niwaombe wana MMU watakao kwazika na Thread hii wanisamehe, wasinihukumu vibaya kwani nna intentions nzuri ingawa I might be at The Wrong Place ila natupa karata yangu hapa.

(Kuhusu Imani sina tatizo nalo sana coz we are all From One God, nnaimani tutafikia Muafaka kama tutakavyoafikiana katika masuala mengine)

Ukihisi inakuhusu japo kwa uchache tafadhali changia mawazo mazuri ya busara na yenye kujenga kwa ku comment direct au kwa PM.

Nawasilisha
 

Maamuma

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
853
225
Mtoto wako ni me au ke? Ana umri gani? Jaribu kupunguza maswali baadaye kutoka kwa wahusika, mi simo.
 
  • Thanks
Reactions: Luv

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
Dah mme ndo uyo walai... Ingawa he is broke lol(jk) ila anamalengo.. And yupo focused...Teh!
Haya ma bishostito wenzangu....apo chacha... Mfanye mpango tuje kufungua champagne sie!
All the best dude!
Mungu akujaalie Inshallah

yani kama niibe password yako nichungulie inbox teh teh
 

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,953
2,000
Dah mme ndo uyo walai... Ingawa he is broke lol(jk) ila anamalengo.. And yupo focused...Teh!
Haya ma bishostito wenzangu....apo chacha... Mfanye mpango tuje kufungua champagne sie!
All the best dude!
Mungu akujaalie Inshallah

yani kama niibe password yako nichungulie inbox teh teh

Mbona wote mnasingiziana??
Mara..ngoja waamke
....mfanye mpango tufungue champaigne

SO NYIE WOTE MKO OCCUPIED?
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Aaaaa wapi! !!ungesema tukishaonana tu na mahali unatoa sasa mpaka mambo yawe mazuri huku unakula papuchi au??acha hizo!!!
 

grand-mal

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
337
0
yaani ukimpata wa kuanza nae maisha nitakupongeza sana, hawa wa siku hizi hawapendi shida bwana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom