Sijawahi kuona mawazo ya kijinga na kinafiki kama ya kuzuia watu kushiriki kutoa damu.. Wanaosaidiwa ni wananchi wa Tanzania; dada zetu, kaka zetu, mama zetu, baba zetu, wajomba, shangazi, babu na bibi zetu..
Hivi hamna siku mtakuja kuwaomba wananchi wajitokeze ili kutoa damu kukidhi mahitaji ya...