Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Acha siasa. Mara kadhaa serikali inasema imetuma watu kuchunguza sehemu mbali mbali kuangalia mienendo ya watu sehemu mbalimbali ikiwemo mahospitalini (usalama wa taifa ) una una uhakika gani hospital hawapo? Halafu Lissu maneno yake ya kweli na yanawachoma wasio penda haki na ndio maana amekuwa akikamatwa mara kwa mara. Huyo unaemsema si mwanasiasa kama Lissu na hata shambulio lake walilenga pesa na wakaondoka nazo tofauti na Lissu hawakuchukua hata Mia, Idadi ya risasi na sehemu alizopigwa Lissu ni tofauti kabisa na huyo mwingine
 
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
tulia kuda ww
 
Kumpeleka Nairobi ilikuwa ni sawa na kumpeleka Muhimbili. Ila when u compare the two kiusalama, Nairobi ilikuwa ndio first choice.

Elewa kwamba sababu kubwa na ya msingi ya kumpeleka Nairobi SIO huduma bora ya afya, bali ni USALAMA wa mgonjwa husika.
 
Hivi alimuuliza Daktari kwanini anasita kuandika report badala ya kukimbilia kwenye media??Unafikiri ndugu wa Lissu wote watakuwa na uelewa sawa au watafikiri walioko huko wanataka kuua ndugu yao??

Mkuu siyo kila kitu kinatakiwa kiandikwe kwenye media mengine yanatakiwa kuishia wanapojadiliana kama watanzania walioko alipo Mgonjwa,mengine nitayaterm kama anatafuta kick.
We nawe mbishi kwl sasa nyalandu angesema in details kua wanatuchelewesha kisa hiki na hiki si ndo angekua kakosea yy katoa taarifa kua wanataka kumpeleka mgonjwa USA ila bado wanasubiri wino wa madaktari so raia washapata taarifa na wanajua kua siku lissu akitoka Nairobi atapelekwa USA kwa matibabu zaidi me bado sioni kosa
 
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?

Tulia... We endelea kusubir mlichopanga kitokee Kama kitatokea mnywe wine mlizoweka ktk mafriji yenu.
 
We nawe mbishi kwl sasa nyalandu angesema in details kua wanatuchelewesha kisa hiki na hiki si ndo angekua kakosea yy katoa taarifa kua wanataka kumpeleka mgonjwa USA ila bado wanasubiri wino wa madaktari so raia washapata taarifa na wanajua kua siku lissu akitoka Nairobi atapelekwa USA kwa matibabu zaidi me bado sioni kosa

Hata hicho kidogo hakutakiwa kuongea siyo business yake period.Kamsome Mbowe ameshatoa information maendeleo ya Lissu
 
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Watu waliogopa hicho ulichokiweka profile yako(avatar).
 
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?
Pole kaka, kwahayo unayoaamini!!
 
Madaktari wa bongo waliookoa maishayake walisema wangeweza kumtibu (kama walivyofanya kwa Maj Gen Mstaafu). Lakini watu wakaweka taaluma pembeni, siasa mbele na kulazimisha aondolewe...
Haya sasa na huku mnataka kulazimisha atolewe...swali...safarihii ni kwa sababu za kiusalama au?

Nafikiri hujatumia ubongo wako vizur au umeamua kuwa kipofu. Mtu yeyote uwe ccm, cdm au neutral na akili timamu lazima ungefanya maamuzi ya namna ile kama ungeambiwa utoe ushauri.
 
Habari wadau!

Kuna habari za kuaminika kuwa Nyarandu anawasiliana na wafadhili wake wa Marekani namna ya kumsaidia Tundu Lissu kupata matibabu zaidi.

Sasa CCM wanaanza zengwe na kuibua ufisadi ulioufanya wizara ya maliasili na utalii pia misaada anayopokea kutoka kwa wamarekani hao ambayo ni kusaidia jimbo lake na baadhi kwa ajili ya kusaidia yatima.

Kwa kuonyesha ukaribu na Lissu imewachukiza wanamtandao hao wa chama cha kijani ili kuhakikisha Lissu hapati matibabu Ulaya na Marekani.

Tukumbuke hata kusafirisha wale watoto wa Luck Vicent waliwasafirisha ni wale wazungu ambao pia walikuwa wafadhiri wa baadhi ya watoto waliofariki kwenye ajari chini ya partnership ya Nyarandu na hao wazungu kama wafadhiri
Nyalandu acha siasa katika misiba

Ina maana chadema nzima hakuna mwenye connections za huko America mpaka Lazaro Nyalandu kutoka CCM aje kuokoa jahazi?
Hata Mbowe na ujanja wake hawezi mpaka mtegemee huruma wa mwanaCCM? Chadema jamani loooo!!!
 
Back
Top Bottom